G
guest-1790917349
Guest
Msd tupe feedback tafadhali
pole sana mkuu na zidi kumuomba mungu ili uweze kuwa sawa tena.. usikate tamaa kwani haya ni majarib ya dunia tu na nimapito pia..
Give yourself a break kwanza kama unajipenda. huyo dada anacheza na emotions zako; ana mtu mwingine na akitibuliwa huko ndipo anapokutafuta. You are kind of 'too nice' for her na anataka anayemsumbua kidogo.
shukrani kwa hili somo.
tatizo alimwangukia mkuu[moyo]