Re:Msaada Computer za watoto

Re:Msaada Computer za watoto

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,983
Reaction score
10,351
Habari wakuu,
Nilikuwa naomba wapi naweza kupata Computers za kuongeza ujuzi kwa mtoto,sio hizi zetu za watu wazima.Ni kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza(6 yrs)
Naziona kwenye TV tu ila sifahamu wapi naweza kuzipata na uawezo wake na msaada wake wa ziada kwa mtoto ni upi.
 
naomba kuuliza hiyo computer inamuongezea ujuzi gani mtt?
 
Mpeleke akasome kenya uhuru amesema atagawa bure. Halafu akishapewa anamrudisha bongo
 
Hahaha,ahsante aka2030.

Hizi zinatoa personal and guidance training ya Hesabu,kusoma,kuchora nk.Na humuongezea mtoto confidence na hamasa ya kufuatilia masomo,then atakapo fika darasa la tatu ndio ana apply hizi Computers za kawaida.
Zinakuwa hazina Complications kama hizi zetu tumezozoea.
Maana nimejaribu kutafuta software/Program ya kuweka kwanye hii yangu ila bado applications zake haziko vizuri.

Ila kama kuna sehem kuna sofware nzuri ambazo naweza kuweka kwenye laptop then zikawa helpfull pia sio mbaya mnaweza kunisaidia kwa hilo pia.
 
Kama utachukua kuanzia mbili naweza kukuagizishia kutoka china, kila moja itasimama 145,000/ Tshs mpaka zikiwa mkononi mwako na utasubiri for 7working days !
 
Habari wakuu,
Nilikuwa naomba wapi naweza kupata Computers za kuongeza ujuzi kwa mtoto,sio hizi zetu za watu wazima.Ni kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza(6 yrs)
Naziona kwenye TV tu ila sifahamu wapi naweza kuzipata na uawezo wake na msaada wake wa ziada kwa mtoto ni upi.

Una akili sana wewe aisee, majuu hiyo kitu kawaida sana kuna guitars, piano, motorcycles na vitu kibaao kwa ajili ya kids at home! Brave parent
 
Habari wakuu,
Nilikuwa naomba wapi naweza kupata Computers za kuongeza ujuzi kwa mtoto,sio hizi zetu za watu wazima.Ni kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza(6 yrs)
Naziona kwenye TV tu ila sifahamu wapi naweza kuzipata na uawezo wake na msaada wake wa ziada kwa mtoto ni upi.

Cheki PM
 
Back
Top Bottom