Re: MMU

Re: MMU

AshaDii napenda sana na nakukubali sana kwa nafasi yako unayosimamia na kwa uhakika I like that part of you ambayo ndio msimamo wako.
Asante sana kwa kuona mchango wangu. Mi si mtoa thread sana ila huwa napenda kuchangia pale ambapo naona kweli kuna haja ya kufanya hivyo na kutoa ushauri pale inapowezekana
Asante pia kwa watu kama gfsonwin, lara 1, Ladyfuraha, snowhite, Kaunga, SnowBall, HorsePower, Kongosho, Mamndenyi na wengine wengi ambao michango yao kwa namna moja au nyingine inaliweka jukwaa la MMU juu
 
Last edited by a moderator:

thanks ma swt bro.
 
Mara nyingi kwa mtazamo wangu naona kuwa wale ambao ni wachangiaji wa mada mara nyingi kuliko hata kurusha huwa wapo huru na willing katika kutaka kusaidia na kuchangia mawazo ya members (hasa wanao hitaji ushauri). Na kwa kiasi kikubwa wanaofanya gurudumu lisonge mbele ni wachangiaji kuliko hata warusha mada; maana warusha mada wengine hurusha tu na kutochangia za wale in need huku bahati nzuri wapo warusha mada ambao pia ni wachangiaji wazuri sana.

Hivo R' niseme tu kuwa mchango wako ni mkubwa na unaonekana. Pamoja Saana.
 
Napenda nitoe much respect kwa wale ambao hujitahidi sana kutoa michango ya kujenga kwa mada mbali mbali ingawa si warusha thread mara kwa mara, michango yao ni mizito na ya kujenga pale wanapo amua kutoa hasa mawazo na misimamo yao. To mention but a few Kaunga, Kongosho, King'asti, HorsePower, SnowBall, snowhite, nyumba kubwa, Nyamayao, Dark City, Roulette, Mr Rocky na wengine wengi siyo rahisi kukumbuka wote. Pamoja Saana.

Ni kweli AshaDii mimi si mrusha thread wa mara kwa mara. Nukumbuka nilipunguza speed ya kuandika baada ya kuandika makala ya Kumhusu Kanumba (Gonga Hapa) nikashambuliwa hatari nikagundua kuwa kimawazo na kimtazamo binadamu tumetofautiana sana, na hivyo ni lazima kufikiri sana kabla ya kuandika thread mpya ...!
Ila nitaanza tena hivi karibuni ...
 
Last edited by a moderator:
AshaDii napenda sana na nakukubali sana kwa nafasi yako unayosimamia na kwa uhakika I like that part of you ambayo ndio msimamo wako.
Asante sana kwa kuona mchango wangu. Mi si mtoa thread sana ila huwa napenda kuchangia pale ambapo naona kweli kuna haja ya kufanya hivyo na kutoa ushauri pale inapowezekana
Asante pia kwa watu kama gfsonwin, lara 1, Ladyfuraha, snowhite, Kaunga, SnowBall, HorsePower, Kongosho, Mamndenyi na wengine wengi ambao michango yao kwa namna moja au nyingine inaliweka jukwaa la MMU juu
ahsante my dear!
tunajitahidi kusukuma gurudumu!
ila mi kuna muda najikuta nahama kwenye nafasi ya unasihi na kulibeba kichwani!af inaniumiza !
ila poa tutafika tu!
 
Ni kweli AshaDii mimi si mrusha thread wa mara kwa mara. Nukumbuka nilipunguza speed ya kuandika baada ya kuandika makala ya Kumhusu Kanumba (Gonga Hapa) nikashambuliwa hatari nikagundua kuwa kimawazo na kimtazamo binadamu tumetofautiana sana, na hivyo ni lazima kufikiri sana kabla ya kuandika thread mpya ...!
Ila nitaanza tena hivi karibuni ...

Kuna lecturer wangu of Doctorate level... Alikuwa katika mafundisho akitusisitiza kuwa in Social Science all is true mradi iwe na sababu na vielelezo kwa hoja ambazo kweli zinasimamia wazo lako.

Horsepower.. Haijalishi kuwa unapowakilisha hadhira yako inakubali ama inakataa... Siyo rahisi kupata watu wote wakaunga mkono. Kinachojalisha ni kuwa hicho ulichowakilisha unaamini ni hivyo (huku ukiacha nafasi ya kuruhusu badili msimamo wako endapo tu mtu atakuja na hoja nzito ya kupinga na ukaona hata wewe kuwa yupo sawa kuliko wewe). Otherwise simamia what you believe in no matter wangapi hawakubali...
 
Nakubaliana na wewe na ndicho ninachokifanya sasa. Ila kwa kuongezea, hiyo thread na comments zake zilinifunza mambo mengi sana .... Na ni miongoni mwa thread zangu ninazozipenda sana.
 
I been chillin' like a villain lookin' like Matt Dillon on penicillin.

How you been my sister-friend from another mother?

Lol! Impressive… I can imagine the look, almost Perfect!

I am good Ngabu. Busy but content…
 
Kwa muono wangu ni kuwa mada za Msingi zipo sana, ila nikiri na kukubali kuwa ni kwa uchache; kuna wadau hurusha threads za msingi mara nyingi sana ingawa siyo wengi huchangina hizo threads. Mfano kuna ladyfurahia na Nicas Mtei napenda threads zao, na mara nyingi ni za kujenga na huwezi kukosa kitu.

Threads nyingi sana zimekuwa za kutaka kusaidiwa kuliko zile ambazo zinatowa na kufunza moja kwa moja. Inapotokea Jukwaa zima lina threads zaidi ya 30 ambazo zote ni kuomba ushauri, kulalamika ama kutowa lawama inevitably Jukwaa lazima lionekane kama vile limefulia.

Hata hivyo kuna wadau ambao wanajitahidi kuleta mada mara kwa mara za kuelimisha kama ilivyo kwa Mtambuzi, gfsonwin na MziziMkavu , ila sasa sema idadi ya watoa mada za kuelimisha imepungua hivyo kwa wale ambao wapo interested sana katika kupata kitu kuliko kutoa ushauri kwa kiasi kikubwa huona kuwa kuna mapungufu makubwa sana.

Mie napenda sana masuala yanayohusiana na mahusiano... The complexity of it... Namna yasivyo na formulae na jinsi yasivyochosha kutaka kufahamu zaidi sababu ni kitu ambacho tunacho kila siku ya Mungu. Safari hii nitajitahidi pia kuwa mmoja wao wa watakaotuma mara kwa mara... Na tunaomba pia members kama Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Asprin, na wengine wengi warudi na mada kuongeza idadi ya mada za kujenga na kuongeza mijadala na pia kwa wale ambao wapo na wana uwezo huo tuzidi kushirikiana.

Napenda nitoe much respect kwa wale ambao hujitahidi sana kutoa michango ya kujenga kwa mada mbali mbali ingawa si warusha thread mara kwa mara, michango yao ni mizito na ya kujenga pale wanapo amua kutoa hasa mawazo na misimamo yao. To mention but a few Kaunga, Kongosho, King'asti, HorsePower, SnowBall, snowhite, nyumba kubwa, Nyamayao, Dark City, Roulette, Mr Rocky na wengine wengi siyo rahisi kukumbuka wote. Pamoja Saana.
Shem, ahsante kwa kunikumbuka.

Nimekumisi ujue.
 
Nashukuru kwa kunitambua na kutambua uwepo wangu hapa MMU
ubarikiwe mpendwa tutajitahidi kuleta mada kila mara tupatapo nafasi,

Kwa kufulia naam limefulia. Ila kumbukeni JF ni forum ya user generated content. So as says Mentor kwanini wewe usilete mapya? I have noted that threads zenye mshiko kiasi ni zile ambazo zinahusu any lover/friend to which most of human beings can relate somehow or have an opinion, either positive or negative, not just an individual question like mke wangu is cheating on me, what do I do? Not that these type of threads are not interesting, they certainly are but they will not mobilise too much attention.

Pia I have noted a rampant form of anti-values promotion which disgusts some of our honest male and female members who prefer to stay away instead of getting dragged into a discussion of "what we do" versus "what we ought to do", with the "what we do" supporters thinking they can be proud just because most of men/women act like them #JustSayin
AshaDii, umepotea sana Alter I miss your threads, iwe huku au Chit Chat. Sometimes nasikitika ulikua JF woman of 2012 maana from hapo ndipo ulianza kupotea :A S 39: (I didn't vote for you!)
 
Last edited by a moderator:
Kuna lecturer wangu of Doctorate level... Alikuwa katika mafundisho akitusisitiza kuwa in Social Science all is true mradi iwe na sababu na vielelezo kwa hoja ambazo kweli zinasimamia wazo lako.

Horsepower.. Haijalishi kuwa unapowakilisha hadhira yako inakubali ama inakataa... Siyo rahisi kupata watu wote wakaunga mkono. Kinachojalisha ni kuwa hicho ulichowakilisha unaamini ni hivyo (huku ukiacha nafasi ya kuruhusu badili msimamo wako endapo tu mtu atakuja na hoja nzito ya kupinga na ukaona hata wewe kuwa yupo sawa kuliko wewe). Otherwise simamia what you believe in no matter wangapi hawakubali...
Nahisi namjua huyo lecturer... :A S 39:
 
Mtu atoe wazo la kufungwa jukwaa la MMU kabla sijamshusha busha!!! Yani ili jukwaa kila day linanipa sababu ya kubaki single aisee..i love it! Cc: gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Shikamooni,

Ninajua mtabisha kama ilivyo kawaida yenu ila Niseme tu ukweli, hili jukwaa limefulia, kila nikifungua sioni la zaidi sana sana ni watu wanlia lia tu kwamba wametendwa, wengine watalipa kisasi na wengine kama akina yona edson kuja na mada zao zisizo na mguu wala mkono.

Tatizo ni nini? labda kupotea kwa akina lizzy, ashadii, yule mwenye ID yenye 1980 na wengineo ndio kumelichokesha? mie sijui, ila ukweli limefulia.

Laleni salama.
Ujue watu kama ninyi mnashangaza sana sasa wewe unataka kila kitu kibaki vile vile kama hao uliowataja wamepata wapenzi au mambo mengine ya kufanya unataka wabaki vile vile tuu enh..yakupaswa ufahamu kila kitu kina wasaa wake..majira nk..miaka ya nyuma simu za mkononi..enzi za elfu 2000 ilikua ni design kama ya anasa, etc lkn ss hv ni kawaida sana..nauli ya mwanafunzi ilikua sh..30 ikaenda 50 mpk saiv 150..bado tu unataka enzi zenu zirudi tu..mambia yameshachange..time hizo zenyewe hakukua hata na twitter, facebook, instagram etc lakini sasa hivi ni freesh..take this to your head.."the only constant thing in life is change"..amin hivyo..over..ukielewa maana yaje this whole thread is useless...but its good to remininsce its no crime..tho..halla..
 
Nafikiri ..hakuna mapyaaa sana katika mapenzi mahusiano na urafiki..

Kwa hiyo muendelezo au kujurudia kwa yaliyokwisha jadiliwa naona ni kawaida.
AshaDii nilikwambia my dada umeonaeeeee tunakumiss banaaa, liz namiss sana avatar na mwandiko wako lolz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mtu atoe wazo la kufungwa jukwaa la MMU kabla sijamshusha busha!!! Yani ili jukwaa kila day linanipa sababu ya kubaki single aisee..i love it! Cc: gfsonwin

Kwi kwiiiiiiiiiiiii...

Yetu macho na masikio lolz.. Wewe sie niliyeonaa mahali watafuta mchuchu.. Hahaaaaa

Back
Top Bottom