Re: MMU

Re: MMU

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Shikamooni,

Ninajua mtabisha kama ilivyo kawaida yenu ila Niseme tu ukweli, hili jukwaa limefulia, kila nikifungua sioni la zaidi sana sana ni watu wanlia lia tu kwamba wametendwa, wengine watalipa kisasi na wengine kama akina yona edson kuja na mada zao zisizo na mguu wala mkono.

Tatizo ni nini? labda kupotea kwa akina lizzy, ashadii, yule mwenye ID yenye 1980 na wengineo ndio kumelichokesha? mie sijui, ila ukweli limefulia.

Laleni salama.
 
Mi bado sijalala.

Ila lengo mojawapo ni kutoa ushauri kwa watu wa aina hiyo. Mi huwa nina feeling hiyo pia sometimes but hey....hakunaga jipya kwen tasnia ya mapenzi. Watu watatendwa. Watalipiza kisasi. And all that stuff. Tatizo tumekuwa mida mrefu hapa na kuyaona mara nyingi ila kwa wengine ndo mara ya kwanza.
 
Ole wao waugeuzao usiku kuwa mchana, basi lifungwe kama hamna jipya kwenye mapenzi! Tufanye tumemaliza mtaala wa MMU
 
Wengine tuwageni katika jukwaa hili hakhaa hayatuhusu...
 
Iv liz na ashadii wana id mupya???longtime.
kwel mmu changanyikeni mihogoni..ktk post sita mbili sifikishi au nachelewa ,mbili nimetendwa au natenda,mbili huyu demu au huy hawara...
Bora natalia,sijamckia nayeye kamuda kwel
 
Hujambo?leta maoni yako, na ulete mada za kujenga hapa, acha chai
Wasiwasi wako tu, sema umesahau!! Wakti kwa sasa bado; tarehe mbovu kama hizi unatarajia kuwe na stori tamu za malavidavi?! Hata kwenye real world, haya mambo tarehe kama hizi huwa supsended! Count on my words, subiri mishale ya kuanzia tar. 25 hapa uone!
 
Kumbe hapa mambo ya bando yanahusika sana eeehh, umening'amua macho, ujue mie sinaga tarehe 1 wala 25 , zangu ziko sawa tu
 
Mbona hata ww unalalamika juu ya mapenzi na thread mbovu
 
May be you don't practice what you preach!! Umenisoma? Mapenzi yenyewe siku hizi mapenzi maslahi.....!! Avunwae mishale kama hii lazima awe anajifanya yupo bize coz' anajua akikutana na amvunae zitaanza stori zisizotekelezeka. As a result, kitakachokuwa posted hapa ni hayo ambayo umeyasema kwenye main thread....kutendwa, visasi! Mwanamke gani anataka mwanaume asiye na hela? Ukiishiwa,acha wenye meno wakate mzigo kisha uje hapa ku-post ya kutendwa!!
 
Wasiwasi wako tu, sema umesahau!! Wakti kwa sasa bado; tarehe mbovu kama hizi unatarajia kuwe na stori tamu za malavidavi?! Hata kwenye real world, haya mambo tarehe kama hizi huwa supsended! Count on my words, subiri mishale ya kuanzia tar. 25 hapa uone!

Aseee NasDaz mbona tunakumbushana machungu ya tarehe maana hata Asnam nimemwambia asubuhi jana
.....mwisho wa mwezi drama zitakuwemo tu
 
Last edited by a moderator:
Mbona hata ww unalalamika juu ya mapenzi na thread mbovu

Kama umesoma vizuri sijaeleza kwamba ni vibaya kulalamika, ila swala hapa ni kwamba malalamishi yalizidi kuliko thread zingine. Ila leo nashukuru Mtambuzi amekuja na swala la msingi....! Sawa kama zangu pia mbovu basi tubadilike
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom