figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,241
mara 100 kuvuta nyota kuliko kunywa castle light
mara 100 kutembea na miguu kuliko foleni za buguruni
100 kua hujui kuliko HUJUI then hujui kama hujui?
MARA 100 nishabikie KILIMANJARO BOYS ILA USIWE SHABIKI WA TIMU YOYOTE YA NJE
Mara mia kuvuta bangi kuliko kunywa soda
mara mia kupiga dogi style kuliko katerero.
Mara mia kushabikia Blackburn kuliko kushabikia Arsenal
Hiyo tunasema mara mia kupiga madesa kuliko kujsubmit kwa lecture.
mara 100 kuvuta nyota kuliko kunywa castle light
mara 100 kutembea na miguu kuliko foleni za buguruni
100 kua hujui kuliko HUJUI then hujui kama hujui?
MARA 100 nishabikie KILIMANJARO BOYS ILA USIWE SHABIKI WA TIMU YOYOTE YA NJE
Ni mara mia kutokuwa mshabiki wa mpira kuliko kushabikia shetani mwekundu (man u)