Re: Lowassa

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
habari wana wa JF.. Huyu bwana tajwa kwenye title hapo amepania sana urais aisee,, anataka amshike kila MTZ.. Ameniadd kwenye facebook bwana.. Hivi atafanikisha kweli??
 
Jamani hivi Lowassa kawafanya nini tena, haya mambo kwamba amepania urais mnayatoa wapi acheni kuzungumza habari za magazetini ambayo lengo lao ni kufanya biashara, mtu hajazungumza lolote watu mmeanza kumfuata kwa maneno, kwamba amekuadd kwenye facebook lina uhusiano gani na mambo ya urais, hajakuomba kura na hata wakati ukifika hakuna mtu anayelazimishwa kumpigia mtu asiyemtaka kura.
Mheshimiwa Lowassa amekaa kimya toka alipojiuzulu uwaziri mkuu, ila mmeibuka wasemaji wake wengi sana.Vuteni subira wakati wa kuzungumza utafika.
 
Nyie ndio mwatumika kumnadi hapa JF.
Najua kinachosumbua ni njaa na mwajua hatashindwa asilani.
OTIS
 
We Lowassa anamjua au unamsikia tu, acha wewe akiamua hata JK atajiuzulu kesho, na kwa taarifa yako ndie Mkuu wa Nchi kidizaini, si unajua tena mambo ya (mafia) kidini? hakuna wa kumzuia asiwe Rais... acha kelele za bure.
 
labda ni rais wa mafisadi

Nyamafu wewe! Mwache rais wetu mtarajiwa afanye programme zake.

Programme za kuzunguka makanisani?

Ni lowasa tu ndio chaguo letu 2015.mwenye wivu nae basi akapige mbizi baharini.

Chaguo la matumbo baadhi.
OTIS
 
Jamani hivi Lowassa kawafanya nini tena, haya mambo kwamba amepania urais mnayatoa wapi acheni kuzungumza habari za magazetini ambayo lengo lao ni kufanya biashara, mtu hajazungumza lolote watu mmeanza kumfuata kwa maneno, kwamba amekuadd kwenye facebook lina uhusiano gani na mambo ya urais, hajakuomba kura na hata wakati ukifika hakuna mtu anayelazimishwa kumpigia mtu asiyemtaka kura.
Mheshimiwa Lowassa amekaa kimya toka alipojiuzulu uwaziri mkuu, ila mmeibuka wasemaji wake wengi sana.Vuteni subira wakati wa kuzungumza utafika.

We ndo msemaji wake?? Ila ukwel we mwenyewe unaujua.. Hivi unafikiri haya yote yanyosemwa na magazet ni uongo??? Anyway nisiongee sana coz sina ushaidi wa kutosha pia.. let us wait and see.. But remeber lisemwalo lipo, kama halipo liko road laja
 
Nyie ndio mwatumika kumnadi hapa JF.
Najua kinachosumbua ni njaa na mwajua hatashindwa asilani.
OTIS

Njaa zitatuuwa co??? Mi wala simtumikii.. Ila this guy is taking over bwana!!!!!
 
labda ni rais wa mafisadi

Programme za kuzunguka makanisani?

Chaguo la matumbo baadhi.
OTIS
Hakuna kiongozi msafi kama Lowassa, mchafu asingejiuzulu... we andaa tu sumu ya panya unywe, Lowassa ndie chaguo na mkombozi atakaeivusha kikwelikweli Tanzania... punguzeni ushamba na chuki ambazo azina mpango.
 
Wewe amekuvusha kukupeleka wapi.
Nchi hii aliivusha kuipeleka kwenye wizi wa hali ya juu wa richmond.
zile hela naona zawaweka wengi online.
OTIS
 
mnaongelea ya Lowassa bilionea namba moja Tanzania kati ya wazalendo hadi wahindi, lakini ni tangu enzi za Nyerere, na Nyerere kama mkomunisti alimchukia kama alivyochukia mtanzania yeyote kutajirika (lakini waasia yes)
kwa hiyo makampuni mapya na makubwa ghafla kama LAKE OIL, KOIL, SAS TRUCKS (400 PLUS) nazo zake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom