Re: Lowassa

wewe ni mshamba sana,kama umemuomba wewe,akaku add sasa unakuja kututangazia njaa zako apa ili iweje?ndo nyie ukitong...o.z.w.a unaenda kutangaza.tumechoka hili,give us a break tafazali
 
habari wana wa JF.. Huyu bwana tajwa kwenye title hapo amepania sana urais aisee,, anataka amshike kila MTZ.. Ameniadd kwenye facebook bwana.. Hivi atafanikisha kweli??

Tumegundua wewe umetumwa, na hapo unapima upepo, wewe mnajuana, mie niko huko facebook mbona hajaniadd(kwanza ningekataa) mpaka akuone wewe tu.

Mwambie yafuatayo:
1. Yeye na wewe ni mafisadi ( coz ndege wa sifa zinazofanana huruka pamoja mpaka ameku-add facebook).
2.ameliingizia taifa hili hasara ya mitambo mibovu na ukurasa wa matatizo ya mgawo mpaka leo( bei zinazidi kupanda).
3. Hajawahi kufanya kazi sehemu bila kufisadisha -tunajua taarifa zake tangu akiwa middle school-tutazimwaga hapa siku si nyingi.
4. ni mroho wa madaraka, japo watanzania na vijana hatumtaki ametuganda kama kupe.
5. amefanya tambiko la kipagani kanisani huko kigoma juzi akiwa na wachawi maarufu(wazee maarufu) wa mkoa wa kigoma bila soni.

SASA BASI: asijaribu kugusa hata fomu kwenye kura za maoni atakiona cha moto, tutamwaga mpaka utumbo.
Hakuna mtu anemhitaji coz wenye sifa ya kuongoza nchi hii wako wengi ndani ya CCM ,Chadema na vyama vingine.
Mwambie huyo anaekutumia amelamba galasa, zama zake zimepita,
Massage sent nasubilia delivery.
 
Mpendwa Chuki,

Kwanza pole na uchovu wa kuandika meseji ndefu kwa mtu ambae sio mwanamtandao. Pili, nakupa hongera kwa kipaji chako cha kupanga maneno vizuri. Umebarikiwa kwa hilo, nadhan gazet lolote litajisifu kupata mtu kama wewe. Kama una maswali kwa Edward unaweza tafuta namba au email yake ukaamtumia. kwaheri kwa sasa
 
Tumegundua wewe umetumwa, na hapo unapima upepo, wewe mnajuana, mie niko huko facebook mbona hajaniadd(kwanza ningekataa) mpaka akuone wewe tu.

Mwambie yafuatayo:
1. Yeye na wewe ni mafisadi ( coz ndege wa sifa zinazofanana huruka pamoja mpaka ameku-add facebook).
2.ameliingizia taifa hili hasara ya mitambo mibovu na ukurasa wa matatizo ya mgawo mpaka leo( bei zinazidi kupanda).
3. Hajawahi kufanya kazi sehemu bila kufisadisha -tunajua taarifa zake tangu akiwa middle school-tutazimwaga hapa siku si nyingi.
4. ni mroho wa madaraka, japo watanzania na vijana hatumtaki ametuganda kama kupe.
5. amefanya tambiko la kipagani kanisani huko kigoma juzi akiwa na wachawi maarufu(wazee maarufu) wa mkoa wa kigoma bila soni.

SASA BASI: asijaribu kugusa hata fomu kwenye kura za maoni atakiona cha moto, tutamwaga mpaka utumbo.
Hakuna mtu anemhitaji coz wenye sifa ya kuongoza nchi hii wako wengi ndani ya CCM ,Chadema na vyama vingine.
Mwambie huyo anaekutumia amelamba galasa, zama zake zimepita,
Massage sent nasubilia delivery.

Sio massage ni message mkuu.. Tafakari na uchukue hatua
 
Ni Lowasa 2 jembe la ukweli hataki longo longo kautema uwaziri mkuu huyu ndio shujaa we2 siasa uchwara hajazoea anatakiwa awe top aweze kufanya full maamuzi
 
EL ni mgonjwa, muombeeni tu kwanza Mungu amrejeshee afya yake. Muangalie uso unavyo mbabuka utafikiri papai lililokosa mbolea wakati ana fedha chafu ya kula anachotaka.
 
wewe ni mshamba sana,kama umemuomba wewe,akaku add sasa unakuja kututangazia njaa zako apa ili iweje?ndo nyie ukitong...o.z.w.a unaenda kutangaza.tumechoka hili,give us a break tafazali

Hoja Tetemeshwa.. Hamna kitu hapo... Kilaza mkubwa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom