RE: Hivi ni lini serikali itateketeza meno ya tembo na pembe za faru

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Wakuu habari za leo,
Nimeona na kusikia nchi mbalimbali zimekuwa zikiteketeza nyara zake kama vile meno ya tembo, pembe za faru, ngozi za chui n.k. mfano wa nchi hizo ni Malawi na Kenya, sasa nimekuwa ninajiuliza ni kwa nini Serikali yetu haionyeshi hata dalili za kuwa na nia ya kuiga mfano huu mzuri ili kuonyesha kuwa inachukizwa na vitendo hivi kama ambavyo nchi zingine zimekuwa zikifanya, au kuna mpango wa Serikali kuja kufanya biashara hiyo siku za baadaye?, naomba tujadili
 
Ziteketezwe ili iweje? Hao wana mantiki zao kufanya hivyo, hapa kwetu hapana wacha zibaki vizazi hata vizazi! Unachodhani hakina maana leo chaweza kuwa lulu kesho!
 
Ziteketezwe ili iweje? Hao wana mantiki zao kufanya hivyo, hapa kwetu hapana wacha zibaki vizazi hata vizazi! Unachodhani hakina maana leo chaweza kuwa lulu kesho!
Kwa ufisadi wa nchi hii kuna siku utasikia zile original zote zilizoko pale Ivory room wajanja wamepiga na wame replace na fake..
 
Back
Top Bottom