Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Aisee siwapigii debe hao UHAI lakini ukiangalia usalama kwa mlaji wakati ya kuandaa ukilanganisha na makampuni mengine naweza kusema UHAI is best water, nimeshawahi kutembelea kiwanda ya maji ya Ndanda springs nikajionea jinsi wanvyozalisha, yaani cjui hawa tbs na watu wa afya wako wapii. Mazingira machafu kama nn,yaani wana bahati tu kuwa maji wanayotymia ni bora sana, na pia yule mzungu ABBEY aliimarisha brand kwa kusini
Hayo ya ndanda ushawahi kufika kule kwenye Tanki lao, kule karibu na kota? Unaweza usiyanywe