Re-branding ya maji ya Uhai

Re-branding ya maji ya Uhai

Kwa kweli soko la maji kwa sasa ni gumu sana kutokana na nature ya hii ptoduct, kwa mfano mikoa miwili tu ya lindi na mtwara kuna viwanda vitano vya kutengeneza maji, bado mengine yanayotoka nje ya mikoa hii, ki ukweli marketers wa hii product wanatakiwa kuijenga brand ya poroduct zao, maana majina ndo yanuza sana kuliko ubora wa hizo product, ukizingatia ni vigumu sana kwa consumers kuweza kutofautisha ladha ya maji
 
Haya maji mazuri sana ila hayafiki dar
 

Attachments

  • 1426153839251.jpg
    1426153839251.jpg
    31.1 KB · Views: 338
Aisee siwapigii debe hao UHAI lakini ukiangalia usalama kwa mlaji wakati ya kuandaa ukilanganisha na makampuni mengine naweza kusema UHAI is best water, nimeshawahi kutembelea kiwanda ya maji ya Ndanda springs nikajionea jinsi wanvyozalisha, yaani cjui hawa tbs na watu wa afya wako wapii. Mazingira machafu kama nn,yaani wana bahati tu kuwa maji wanayotymia ni bora sana, na pia yule mzungu ABBEY aliimarisha brand kwa kusini
 
Naona ni innovation katika package design lakini sio re- branding ilio fanyika
 
Brightdeemed nenda kasome product life cycle, marketing strategies zinakuwaje kwenye decline stage halafu ndo uje uchangie!
 
Last edited by a moderator:
maji bora p.h 7.9 ...?

wengi tunatumia bidhaa bila kufuatilia vitu vya mmsingi, bora ninywe yale ya zamani ila sihaya mnayosema mapya,

maji ni more alkaline hayakati kiu, utakunywa na kunywa bila kukata kiu,

bora pure water
 
Pakejinyi yao sasa inalipa, tatizo ni hao wanaojaza humu kwenye hizo chupa hayo maji ya kwenye mifereji tu.
 
Wanabodi,
Hii re branding waliofanya kampuni ya maji ya kunywa ya chupa ya UHAI nimeikubali, kuanzia packaging design hadi labbelling, kwa sasa angalau hii brand inaweza kuvuka mipaka.

Yana ladha ya shabu mkuu yamenshinda kabisa tofaut na Yale ya zamani.
 
kigambon mwaka jana yalikuwepo maji yanaitwa pangan.. wanachuo tulikua tunayapenda sana maana lita moja na nusu ilikua mia 500, kwasasa sijui kama bado yapo
 
Brightdeemed nenda kasome product life cycle, marketing strategies zinakuwaje kwenye decline stage halafu ndo uje uchangie!

Mkuu brand Uhai iko katika maturity nasio decline stage kama usemavyo, walicho fanya ni kubadili tu package na labeling design na ndicho maana huoni any advertising campaign, kumbuka Uhai is now the leader in terms of market share, so kafanye research ndo uje kuchangia tafadhali bro.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu eti ni leader katika market share kwa research ipi? Halafu KILIMANJARO atakuwa nani? Umesema sio re-branding ni innovation, labda maana ya BRAND utakuwa umeisahau, nadhani ukifanya marejeo na ukafahamu definition ya brand utakubaliana na mm
 
Back
Top Bottom