Re-advertised

Kuwa na ufaulu mzuri na kuwa competent kwa kazi husika ni vitu viwili tofauti kabisa-As a graduate nilazima uyajue haya. There is more than that
 
Umenikumbusha mwaka flani nilifanya interview EGPAF, walinitumia paper kwenye email. Paper ilikuwa tight na masaa yalikuwa matatu. Nilikuwa na google majibu hayaji, nikaanza kuwacall mates wangu nao walikiwa weupe tu. Mmoja wa mates aliniambia nae anapiga paper, kumbe ilikuwa ni kama nayofanya mimi.

Baada ya kusubmit tukaongea na mshikaji akasema alikuwa anapiga paper EGPAF na position ni kama yangu. Tukasubiri majibu but tuliambulia kuona RE-ADVERTISED kwenye mitandao.

Sikujisumbua kuomba maana ile paper yao siyo mchezo
 
Hahaa, iyo hatari sana. Ila inauma kuona kazi ambayo umeomba na unavigezo inakuwa readvertised
 
Shida ni kuwa unaomba ajira na huna sifa wewe ni mamluki...ukipewa paper lazima ikuunyooshe tu...nakumbuka mwaka 2013 nimemaliza diploma ya maendeleo ya jamii...Viettel wakatangaza ajira ya customer care....kutokana na njaa ya ajira nikaomba na kweli nikaitwa kufanya interview....ukweli ni kuwa mimi ni mweupe kwenye customer care..walivyonipa paper niliishia kuboronga tu.....TUACHE KUWA MAMLUKI HUNA SIFA KAA PEMBENI..TUSIWAHARIBIE WENGINE
 
Back
Top Bottom