Re: Acha

Atakuwa nae kacopy huko FB au sehemu sehemu zingine

Hapana... Hii kitu nimeidizain mwenyewe yaan mwanzo mwisho.. Mwenyewe nilivoiona kule FB nikasema duh..
 
1. Acha tabia ya kutingisa dushelele baada ya kukojoa, hii kwa wanaume
2. Acha tabia yakupachika vibinti vidogo mimba na kusepa
3. Acha kulaumu maisha magumu wakati wazazi walikupeleka shule ukajiona mjanja ukawa unatoroka
4. Hii ni kwa mabint acheni kudanganya umri mtu unamuuliza una miaka mingapi anasema 21 kumbe ni 27. Nitarudi baadae
 

Hio ya dushelele ni kiboko Mr. Nitonye..

Acha tabia ya kula kitimoto vichochoron wakat dini yako inakataza
 
Acha tabia ya kumchungulia mkeo wakati una uwezo wa kumvua ch**pi
 
Acha kulazimisha watu wachangie hata thread ambazo hazina kichwa wala miguu
 
Acha tabia za kuonga wanawake afu ukiwa nawashkaji unajisifia "mi siwezi kumuonga mwanamke"
 
Acha pombe funda moja tu la ziada litakuumbua..
 

acha tuishie hapo hapo
 
Acha tabia ya kujifanya umeokoka, wakati tabia na matendo yako vinakuhukumu
 
Acha kulazimisha watu wachangie hata thread ambazo hazina kichwa wala miguu

Acha kujipendekeza kwenye thread kama hujazifill hata kama umeshauriwa kuchangia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…