Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, amewataka watumishi wa umma wa mkoa huo kuwasilisha nakala za vitambulisho vyao vya kupigia kura mara zoezi la uhakiki litakapoanza.
Amesema hatua hiyo inalenga kubaini idadi ya watumishi wa serikali ambao hawakujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Vuga, mkuu huyo wa mkoa amesema kuwa baada ya uhakiki, kila mtumishi atarudishiwa kitambulisho chake papo hapo.