RC wa Dar es Salaam kutoa usafiri kwa Ombaomba wanaotaka kurudi makwao mwezi wa 6

inshallah mungu akujazie pasipo kukupimia!!ameen
giphy (2).gif
 
Hao jamaa huwa wanapelekwa kwao na kurudi, nauli wanazo, itafutwe njia itakayowafanya watulie wakifika kwao, kama ni kutunga sheria or whatever I don't know.
Waanzishe tu kijiji cha ombaomba ekari kama elfu 5 kila omba omba akikamatwa popote Tanzania apelekwe huko akatiwe sehemu alime. Wanajeshi wetu watoe ulinzi kuhakikisha kutoroka haiwezekani. Baada ya miaka kadhaa hutaona omba omba mjini kwa hofu akikamatwa ataishia kijiji cha ombaomba.
 
hivi bado wengi wao wanatokea mkoa uleule wa dodoma kama ilivyo zoeleka?.
 
Leo hii mnawageuka wanyonge 😂😂😂😂 kweli magufuli alikuwa kazungukwa na wachawi.

Wewe naweee.......... umetumia kipimo gani kuwapima na kuwaita wanyonge hao ombaomba waliokimbia majukumu ya kujenga uchumi makwao na kujazana mijini?

Ni rahisi sana kuzijua akili zako zilivyofeli kwa kumlinganisha asiyetaka kazi zaidi ya kuombaomba na yule anayepambana kufanya kazi apate chochote kitu

Unatia huruma sana yaani
 
OMBAOMBA wanaletwa DAr na wafanyi biashsra na jioni wanakusanya fedha zote na kukabidhi.
Wapo wanao miliki bajaji za mnazi mmmoja ferry, wengine wana IST za uber na nyumba huko mbagala. wanapata fedha nyingi ila hawapendikuwekeza kwao Dodoma.
 
Wewe naweee.......... umetumia kipimo gani kuwapima na kuwaita wanyonge hao ombaomba waliokimbia majukumu ya kujenga uchumi makwao na kujazana mijini?

Ni rahisi sana kuzijua akili zako zilivyofeli kwa kumlinganisha asiyetaka kazi zaidi ya kuombaomba na yule anayepambana kufanya kazi apate chochote kitu

Unatia huruma sana yaani
😂😂😂 haya ulipaswa kuyaongea wakati marehemu hajaondoka mama D
 
Zipo njia nyingi za kuwatoa na hawawezi kurudi tena mjini, ila zitakuwa za kudhalilisha utu. Waana harakati wa haki za binadamu watapata kazi ya kufanya.
Huo ni uongozi wa Jiwe ambao kwa sasa mama Samia hataki kabisa kuusikia.
 
Back
Top Bottom