RC Serikali na wananchi sio wajinga kiasi hicho mnachodhani

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
2,000
Reaction score
3,395
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.

Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.

Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.

Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.

Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.

MALENGO NI.

tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.

Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.

Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
 
VIJANA SAFARI HII HAWAWAPATI WASHACHOKA SANA HIZO HABARI ZA CHADEMA NA WAHUNI HAKUNA KIJANA ATAKUBALI KUINGIA BARABARANI ILI AULIWE HAYUPO
 
WEWE UNATAKA TUSAHAU KIVIPI?? HATUTASAHAU .MWISHO NITOE NASAHA POLISI SAJILINI CHAMA CHENU
 
Ni mbinu ya kitoto ambayo pia baadhi ya familia kwa sasa wanaona ni kama wanatumika kuhalalishia wanasiasa ulaji na kujijenga itafika muda itachokwa.

Ni vyema kuja na mbinu za ziada
 
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.

Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.

Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.

Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.

Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.

MALENGO NI.

tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.

Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.

Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Unaonaje ukiacha ngonjera za kishoga ukapangua hoja zao moja baada ya nyingine, freedom of expression haipaswi kabisa kuwepo? Kama kuna mtu amevunja sheria si mumpeleke mahakamani?(mahakama hizihizi za mchongo ili tushuhudie drama kwa macho na masikio yetu).
 
chadema masalia kwa kutumia vijana BAviCHA wanaofadhiliwa na kulelewa na M.sarungi pale nairobi ni malofa sana kwakweli.
Yaani wamebebwa ufala wa kifikra kuchochea fujo za kuangamiza familia zao Tanzania :NoGodNo:
 
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.

Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.

Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.

Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.

Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.

MALENGO NI.

tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.

Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.

Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Poor perception. Wapeni maiti za ndugu zao wakawazike kwa heshima.
 
Unaonaje ukiacha ngonjera za kishoga ukapangua hoja zao moja baada ya nyingine, freedom of expression haipaswi kabisa kuwepo? Kama kuna mtu amevunja sheria si mumpeleke mahakamani?(mahakama hizihizi za mchongo ili tushuhudie drama kwa macho na masikio yetu).
Yanini matusi mkuu
 
tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana,
Serikali sio yao maana hawakuichagua, na ndio sababu inawaonea, kuwateka, kuwaibia, kuwalawiti, kuwauwa
 
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.

Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.

Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.

Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.

Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.

MALENGO NI.

tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.

Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.

Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Kitu pekee ni kuwa, vyovyote itakavyokuwa ila mioyo yenu haitokaa ije kuwa na amani hata kama ardhi itawameza Leo, majuto na huzuni zitadumu hata huko mbinguni tutakapoenda...

Hamkuyatendea haki maisha na uhai wa viumbe vilivyostahili kuishi kama ninyi...

Kusonga mbele kama Taifa, tunahitaji viongozi watakao ukiri ukweli wa kilichotokea, ukweli usio na mashaka....

Kama ilivyo siku inapokuwa ndefu kwa pumzi aliyonayo mwanadamu, ndivyo miaka mitano itakavyokuwa migumu

Kirini kilichotokea, tusonge mbele
 
Unaamini hiyo ndio suluhu?? Unaitaka kiri gani Mkuu... Kuna namna nyingi za kukiri hata kitendo cha kukubali mauaji ni kukiri pia ila tusitegee Rais kusimama na kusema nimekosa nisameheni... Hili hata kama Rais angekua Lissu asingelifanya.

Yalitokea maumivu yatabaki daima na tukio lile litaandikwa hata kwa wino wa damu ila kulitumia kisiasa sioni kama ni busara bali kutonesha vidonda vya waathirika kila siku. Ukiangalia namna linavyozungumziwa sio kwamba ni kuwafariji watanzania bali kujitafutia mamlaka
 
Serikali sio yao maana hawakuichagua, na ndio sababu inawaonea, kuwateka, kuwaibia, kuwalawiti, kuwauwa
Kiongozi, serikali ilichaguliwa na walioichagua (siongelei mapishi yaliyofanyika)

Kosa la kimkakati lilianza katika kususia uchaguzi, mwanamageuzi yeyote mwenye kutathimini hili ataliona. Unaanzaje kuipinga serikali ambayo tangu awali ulisusia uchaguzi. CHADEMA leo ingekua na ushawishi sehemu yoyote na kwa mtu yeyote kwa kuyatumia madhambi ambayo lazima yangejitokeza katika uchaguzi ule. Kulialia leo sio suluhu.
 
Kwamba wewe mleta mada ni mwelrevu kuliko mzee Warioba? Warioba ambaye aliomba appointment zaidi ya mara 3 kuonana na Samuya ili amshauri kabla ya uchaguzi, lkn samuya akaza fuvu

Hao RC unawataja kwasabb gani? Au na wewe unacheza ngoma ya udini iliyoanzishwa na bi. Msumi?

Hivi unataka wananchi wapotezee mauaji yaliyofanywa na bi. Msumi?
 
Unaamini hiyo ndio suluhu?? Unaitaka kiri gani Mkuu... Kuna namna nyingi za kukiri hata kitendo cha kukubali mauaji ni kukiri pia ila tusitegee Rais kusimama na kusema nimekosa nisameheni... Hili hata kama Rais angekua Lissu asingelifanya.

Yalitokea maumivu yatabaki daima na tukio lile litaandikwa hata kwa wino wa damu ila kulitumia kisiasa sioni kama ni busara bali kutonesha vidonda vya waathirika kila siku. Ukiangalia namna linavyozungumziwa sio kwamba ni kuwafariji watanzania bali kujitafutia mamlaka
Unataka watu wa-assume waliouawa MO29 ni mapanya?
Kiungwana na kiutu Samuya alitakiwa awajibike kwa mauwaji aliyopanga na kujiandaa na matamko juu kwamba ataua wananchi siku ya MO29.
Alitamka hadharani tena Nchi nzima kuwa atawaua Watanganyika.

Waacheni watu waseme na kulilia damu za wapendwa wao.
Ishu ya uungwana mlitakiwa muanze nayo nyinyi kwa kutuonesha miili ya wapendwa wetu.

Halafu ishu ya maandamano msiihusianishe na CHADEMA.
 
Kaka unaitoaje CHADEMA kwenye mipango ya maandamano?

Any way ni sawa maana naamini thinktanks za kuratibu zilikaa na zikaafikiana. Awali ilikua smart ila as time goes credibility inapotea taratibu.
 
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.

Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.

Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.

Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.

Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.

MALENGO NI.

tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.

Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.

Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Nyie wasenge hivi mnadhani kuua binadamu ni jambo dogo eeh? Mnataka watu wasiongelee damu mlizozimwaga? Acheni usenge!
 
Kwamba wewe mleta mada ni mwelrevu kuliko mzee Warioba? Warioba ambaye aliomba appointment zaidi ya mara 3 kuonana na Samuya ili amshauri kabla ya uchaguzi, lkn samuya akaza fuvu

Hao RC unawataja kwasabb gani? Au na wewe unacheza ngoma ya udini iliyoanzishwa na bi. Msumi?

Hivi unataka wananchi wapotezee mauaji yaliyofanywa na bi. Msumi?
Yaani wewe unamwona huyo Mzee Warioba ndio mwerevu sana? Mzee huyo kwa sasa ana miaka zaidi ya 80 hata kumbukumbu zimeshaanza kupotea then wewe ndio unamwona mwerevu sana? Utakuwa na matatizo ya fikra!!
 
Back
Top Bottom