RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

John John Msakuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
279
Reaction score
99
1754891654307.png
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183.

Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo, pamoja na vifaa vya kampeni ya chanjo vikiwemo majokofu 6, cool box 180, syringe 140 na sindano 2,160 na kuku kupatiwa chanjo bure.

Vilevile, mashamba darasa ya malisho yameanzishwa na mbegu bora 368 za mifugo zimesambazwa kwa njia ya uhimilishaji. Uzalishaji wa maziwa umeongezeka kutoka lita 1,200,000 mwaka 2020 hadi lita 2,030,720 mwaka 2025. Matokeo ya haya yote uzalishaji wa maziwa wafikia lita 2,000,000 mwaka 2025 kutoka lita 1,000,000 mwaka 2020
 
Back
Top Bottom