pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,673
- 13,741
Na yeye analindwa na nani?
Siku hizi wanafanya kazi za kichama muda wote, Rais aliwahi kulielezea hilo.sijaelewa hii ni kama mkuu wa mkoa au kama kada wa chama?
Haujui au! Weka hapa vyeti vyako vya kufoji utapata jibu, mara paa.Na yeye analindwa na nani?
hicho unachotaka kusema wewe hata huyo makonda wanasema ni chakula ya watu. wale vijana wanaomuandikia research yake ya masters mmoja anampumulia kisogoniMbona anashambuliwa Makonda, je kwani Halima Mdee na Ester Bulaya mbona wanasemwa sana kwani kuna nini? Tujuzane wa JF.
Kumbe, lakini mbona huniambii kuhusu Halima Mdee na Ester Bulaya, kwani kuna nini?hicho unachotaka kusema wewe hata huyo makonda wanasema ni chakula ya watu. wale vijana wanaomuandikia research yake ya masters mmoja anampumulia kisogoni
Na watu wanashangilia...Funny
kamuulize SHAKA S.SHAKA aliyeolewa na bwana salum MPELEMBWE huko TAKumbe, lakini mbona huniambii kuhusu Halima Mdee na Ester Bulaya, kwani kuna nini?