RC Paul Makonda: Halima Mdee anamlinda Ester Bulaya badala ya kuwahudumia Wananchi

Mbona anashambuliwa Makonda, je kwani Halima Mdee na Ester Bulaya mbona wanasemwa sana kwani kuna nini? Tujuzane wa JF.
hicho unachotaka kusema wewe hata huyo makonda wanasema ni chakula ya watu. wale vijana wanaomuandikia research yake ya masters mmoja anampumulia kisogoni
 
Ila makonda anachosema hakika siyo wa kubezwa huo urafiki bulaya na mdee unaualakini mkubwa pamoja kwamba niwanachama wa chadema bado kuna mengine wanafanya zaidi ya chama
 
Bashite kiherehere cha nini kaka ç ueaachie wananchi ndio waamue sasa wewe inakuusu nini au unalitaka jimbo la KAWE
 
jimbo la kibamba lipo wazi kabisaa.....mnyika kasoma alama za nyakati kabadili gia angani hawezi tena kugombea jimbo la kibamaba
 
Back
Top Bottom