kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,045
hahahahahah na atakuja kweli huyu jamiii, aliyekula nyama ya mtu ahachi kamweMuiteni Gambo aje "kuziratibu"
hahahahahah na atakuja kweli huyu jamiii, aliyekula nyama ya mtu ahachi kamweMuiteni Gambo aje "kuziratibu"
unatoa rambi rambi huku ukiwa na waandishi?
PhD ya maganda ya korosho tena.Eti ndo watu wanasema vijana wapewe madaraka!! Upumbavu mtupu. Ina maana watu kutoa rambi rambi imekuwa siasa? Serikali inapewa michango yenyewe inawapiga panga waathirika kwa nini tuendelee kupitishia michango yetu huko? Ujinga wa kiwango cha PhD huu!!
harusi pia?Serikali inaratibu kila kitu
Chadema hawajui hayo,wao wanataka kiki tuMkuu wa mkoa gari iliyoua haikuwa na Bima tusadie waliofiwa na majeruhi kulipwa fidia na Mumiliki wa shule tunaomba libebe hili baba
lema ana hasira ya kunyimwa mic ndio maana ameanzisha propaganda ya rambirambi ambayo haina mashiko na haitadumu
Chadema hawajui hayo,wao wanataka kiki tuMkuu wa mkoa gari iliyoua haikuwa na Bima tusadie waliofiwa na majeruhi kulipwa fidia na Mumiliki wa shule tunaomba libebe hili baba
Usiwe Nyumbu mkuu.jingalao;
Kweli nimeamini weye ni jingalao full. Kama si waandishi wa habari tungesikiaje habari za huo msiba?? Kama sio waandishi wa habari tungefahamuje kuwa rambirambi zimelambwa?? Waliochukua waandishi wa habari, ni kuonesha ukweli kuwa rambirambi zilizochangwa zimewafikia wahusika na kiasi kilicho tolewa kwao. Weka mambo hadharani.
Mnasema ati tusitumie maafa kama chanzo cha kupigia siasa. Sawa kabisa, usiutumie msiba pia kama kigoda cha kushibisha matumbo yako.
Chadema hawajui hayo,wao wanataka kiki tu
Nataka niwaambie hapo kuna kitu kinatafutwa kwakuwa watanzania akili zetu ni za kipumbavu Na kama hatutabadilika na kuzifanya ngozi zetu kuwa ngumu kama za mamba tunakwenda kuona mambo mengi sana kama ni ishara tayari zimeshaanza kuonekana tengenezeni akili.Tunaomba kipengele cha kutoka rambirambi kipo ktk kifungu kipi cha sheria za tz au ktk katiba? Naona sasa tutashindwa hata kufarijiana ktk misiba au misiba mmeamua kugeuza mradi wa kitaifa?
baada ya lema kuumbuliwa na Gambo kuhusu ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto naona ameumozwa sana...alitaka kulaghai watu kuwa amejenga hospitali kumbe ni kazi ya wahisani...leo hii alitaka kuonekana bora kupitia msiba na Gambo kambania mic..lazima achukie.Pole sana.Maana Gambo ameprove kuwa amekula pesa za wafiwa.Hana amani,kwa sasa kila MTU ni adui yake hata Kivuko chake anakiogopa.
Hakuna siasa kwenye Kijani misiba.Kijani msiba ni mila na desturi za waafrika wote.Hakuna mwenye dhambi kwenye Kijani.
Anachoogopa Gambo ni aibu ya kula rambirambi. Mnatengenexa scenarios nyingi mupnekane mnacha maana mnachoongea kumbe upupu mtupu.
Hivi kesho Gambo akifukuzwa ukuu wa mkoa ndiyo mtakuwa wa kwanza kumsakama.Acheni unafiki.Mwmabieni ukweli mwenzetu umekosea.Mwelezebu atende mema siyo kila MTU ni wa dini yake ambayo Chuki na visasi ni sawa Hata kama Ilani ya CCM ni kuendeleza Chuki haitatusaidia.Hatuishi milele.
Rambi rambi na waandishi!!!!?Eti ndo watu wanasema vijana wapewe madaraka!! Upumbavu mtupu. Ina maana watu kutoa rambi rambi imekuwa siasa? Serikali inapewa michango yenyewe inawapiga panga waathirika kwa nini tuendelee kupitishia michango yetu huko? Ujinga wa kiwango cha PhD huu!!
Usiwe Nyumbu mkuu.
Misiba mingapi haihudhuriwi na waandishi wa habari?na inafanyika vizuri kabisa.
rambirambi imeliwa kiasi gani na nani?au unashabikia upuuzi wa Leema kisa kanyimwa mic?
taarifa za rambirambi hujapewa na RC?kilichoibwa ni kipi?au kwa kuwa mwanasiasa leema kasema?
kama mlizoea kuiba rambirambi ni nyinyi sio serikali.mnatumia maafa kisiasa kwa sababu wakati wa kuandaa mazishi hamkuepo bali kwenye rambirambi ndio mmekuwa wasemaji.