RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

TATIZO LILIKUWA MKUSANYIKO HUSIOFUATA SHERIA (UNLAWFUL GATHERING) AU KUTUMIA SIASA KWENYE MAJANGA!!?

BINADAM HUWA HATISHWI, BALI ANAELEKESHWA.
MNABAHATI SANA CUF ILE YA "MAPANGA SHAA" MLIIFITINI KWA PROPAGANDA ZA UDINI.
 
kwa nini unaita uhalifu kuwa ni biashara?
mauaji na uchangudoa ni uhalifu..elewa hilo kwanza kabla ya kuwa Nyumbu.
We boya siumesema kila kitu kinaratibiwa na serikali saa hizi umesahau? Unakichwa kama cha kuku kusahau kila baada ya sekunde 3
 
Tuliza mzuka gari iwe ilikuwa na bima au LA fidia iko pale pale hakubadilishi chochote kama ilikuwa haina bima shule italipa maana ndiye mumiliki wa hayo malaria kama ilikuwa Na bima basi bima watalipa hizo billions za fidia
 
Usipate shida mwambie mwenye Shule aende na huo utetezi wako mahakamani.
 
Je sheria inasemaje. Mkusanyiko wa watu wangapi unahitaji kibali?
 
Mi wala hainishangazi maana hiyo ndo akili ya majority over 80% in Tz, akili ndogo kuongoza akili kubwa na hii inaanzie kule mwisho juu kabisa
 
Ameongea vizuri sana kama kiongozi wa mkoa! Tatizo la watanzania ni wavivu wa kufikiri siasa hata pasipohitajika na hiyo shule kama ana uwezo aifutie usajiri wake wajinga sana.
Hivi wakifa watu wangapi ndio serikali iuafanye msiba ni wake?
 
Kwa hili Gambo wewe ni jipu kubwa tunajua rambirambi ulivyozipiga bila soni wewe na Bashite ni shida nchi hii
 
Viongozi wote wa Mjini Arusha wote ni Kutoka Chama Cha CHADEMA.Hapa hakuna Mtu wa CCM.labda huyo Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya.Lakini Ukina huku Madiwani Pamoja na Meya na Mbunge wote Ni kutoka CHADEMA.Hapa hata Kama ni harusi lazima watakuja tuu kwenye harusi kwani Chadema ndiyo Mpango Mzima hapa Arusha.Sasa hapa Utabadilishaje Sasa hapa?
 
Ameongea vizuri sana kama kiongozi wa mkoa! Tatizo la watanzania ni wavivu wa kufikiri siasa hata pasipohitajika na hiyo shule kama ana uwezo aifutie usajiri wake wajinga sana.
Ngese wewe mvivu wa kufilikiri mama yako sio sisi
 
Tunaomba kipengele cha kutoka rambirambi kipo ktk kifungu kipi cha sheria za tz au ktk katiba? Naona sasa tutashindwa hata kufarijiana ktk misiba au misiba mmeamua kugeuza mradi wa kitaifa?
Du walah, kuna siku mtu atakuja kuulizwa nukuu ya kifungu cha Katiba, kuelekeza mtu kutumia mkono wa kulia kula chakula.
 
Mbona wewe Mrisho Gambo hujadhibitiwa, Ulipoiningiza siasa kwenye majanga au unafikiri wananchi ni wapuuzi kiasi hicho cha kuwadanganya, jipange upia dogo hicho ni cheo tuu kina mwisho ndugu
 
Halafu dereva anataka aombewe,Mungu hadhihakiwi
Ataombewa na wanafiki lakini mwenye imani ya dhati ataombea taifa lipate kiongozi bora wakati ujao maana kwa sasa tumeangukia pua
 
Serikali inaratibu kila kitu

Mbona Serikali hii ya kina Bashite(Kusoma na Kuandika) mpaka sasa mmeshindwa kuratibu yafuayayo:
  1. Maafa ya Tetemeko la Ardhi Kagera.
  2. Msiba wa Vifo vya askari 8 kule Kibiti.
  3. Kuzuia mauaji yanayoendelea huko Kibiti.
  4. Bei ya sukari kuuzwa kwa shs.1800/=.
Gambo & Team wacheni maneno tunataka music.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…