RC Mbeya utuombe radhi wana Mbeya

RC Mbeya utuombe radhi wana Mbeya

Kutokana na hotuba yake ya jana kutu kera sana wana mbeya tunamuomba sana huyo rc atuombe radhi maana maneno aliyo yatamka hadharani kuwa wakosoaji woote wa serikali inabidi wapigwe viboko na kuwachoma sindano ili wawe vichaa imetukera sana.

Kwa wana Mbeya hiyo lugha iliyo tumiwa na rc ni ngeni sana na inatuchafulia utamaduni wetu wa kistaarabu tulio uzoea.
Njoo Hapa Ilomba Marafiki tushushie K vant
 
kurasini sijawahi kukaa , kwangu ni Tandika Mwembeyanga Transfoma DSM , kwenye ile nyumba nzuri kuliko zote na Kajunjumele - Kyela , Ukiniona Kurasini basi ni kwa ajili ya kusafirisha au kupokea Makontena yangu bandarini , maana mimi ni mwekezaji , sisi ndio hela zetu zinanunua hizi ndege zenu mnazotamba nazo
Acha uongo! Nakujua kuliko unavyojijua hahhahaha.
 
Hasa hao wenye kuvaa mashati yakijani
Mimi naona hawa wa mikoa wawe wanapigiwa kura.mtu anaokotwa toka jalalani alafu anapewa ukuu wa mkoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom