Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,429
Huyu RC Chalamila anaweza kuwa alipita UDSM kusoma lakini hajaelimika. Kauli zake kwa kweli hazina tofauti na wabunge Lusinde au Msukuma ambao hawajasoma beyond STD VII na kazi yao kuropoka hivyo bungeni.Haa Ana Masters Kutoka UDSM
Hata kama amepata kuteuliwa kuwa RC kwa sababu ya ukada wa CCM hapaswi kulamba viatu cha mteuzi wake kiasi hicho. Hili jitu Chalamila ni dubwasha tu empty head.
Ila mbinu za Jiwe kwenye mikoa ya watu werevu na wanao jua haki zao za kiraia kama Mbeya analeta mijitu ya hovyo kama hili Chalamila