Madaraka hulevya. hasa kama hujakulia katika familia za viongozi, umeupata uongozi pasi na kutarajia basi tegemea kulewa na ukishalewa utajiona ni muelwwa sana kwa kila jambo kumbe umelewa. Namfaham Chalamila na nina mawasiliano naye privately.
Erythrocyte Rais SSH kasikia kilio chakoAfya ya akili ya Chalamila ichunguzwe , muundo wa kichwa alichonacho unazua maswali mengi mno .
Afya ya akili ya Chalamila ichunguzwe , muundo wa kichwa alichonacho unazua maswali mengi mno .