Yupo USA kwa wiki kadhaa sasa.
Na watu wa karibu wanasema issue mojawapo anayoshugulikia ni suala la tatizo la uzazi alilonalo yeye au mke wake.
Mheshimiwa toka afunge ndoa Miaka 6 iliyopita hajafanikiwa kupata mtoto.
Anaonekana kwenye mitandao akiwa Marekani. Nimeshangazwa sana na tabia yake ya immaturity. Hivi Mkuu wa mkoa (by virtue of that position) unatuma picha facebook kuwaonyesha watu uko ughaibuni? That is 13th century style and thinking....

Wengine wote wamenyimwa kusafiri, Labda amesindikiza ujumbe wa kumsaka Mokili na yule nani yule ehee, Mange. Akileta hizo US harudi Atakuwa mgeni wa Sheriff.