Wewe ni mfia chama,mchumia tumbo hujali watu waliobunjiwa Majohe,Mbezi mwisho,wanaolala nje huko Kagera ila tumbo,okay,nakuheshimu na kwa taaluma yangu naomba nisijibizane na wewe!
Alionyesha Utovu wa adabu kwa Waziri Mkuu, Magu kamstukia akamwambia awe anawajibika kwa Mawaziri wa Tamisemi. Kuonea kwake watu kulileta picha mbaya sana PM akampiga stop.
Nimemuuliza swali hilo mtu mmoja kaniuzi kweli. Eti ananijibu kuwa labda kaenda Mombasa kule anakokwenda kiongozi wa UVCCM kwa ajili ya mapumziko. Makonda alitokea UVCCM, sasa huko Mombasa kuna nini mbona wanapapenda hivi?
Au kanidanganya?
Wanabodi,
Tangu ziara ya kuzunguka Mkoa wa DSM iliyofanywa na RC wetu sijapata kumsikia tena. Je ni mapumziko ya mwaka mpya au kipi kinaendelea. Mwenye taarifa atujuze!
Amepewa refers kwa ma bingwa kupandikiza watoto US maana mwaka 8 sasa bila bila! Usione anaropoka ana stress za mtoto! Anaona noma kwa familia yake na wakweze