RC Makonda vs Gavana Sonko

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Utendaji wa kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Paul Makonda na Gavana wa Nairobi Mike Sonko hauko tofauti jinsi Mheshimiwa Makonda anavyoshughulikia huduma za kijamii kwa wakazi wa Dar hamna tofauti na Gavana Sonko anavyoshughulikia kwa wakazi wa jiji la Nairobi.
Nampa pongezi nyingi Mheshimiwa Makonda na aendelee kuwatumikia wakazi wa jiji la Dar kwa moyo huo huo.
 
Wakenya hawatuwezi, onyesha Wowowo la gavana wao tulinganishe na Bashite wetu.
 
Back
Top Bottom