RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

Yaani ukitafakari vizuri sana suala na muenendo wa huyu Bashite unaweza kujikuta unaelewa nchi yetu kuwa iko gizani.

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Eeeh! baki na Utumwa wako wa Vyama hivyohivyo!
 
Boya kama wewe umsamehe unamuongezea au kumpunguzia nini!
Zezeta kama wewe kumsemea kunakuongezea au kukufaidisha nini? Endelea kujikomba ukidhani ataweza kukusaidia kupata ajira!
 
Yanga na Mtibwa sugar wamecheza wametoka Makonda leo alikuwa KKKT Kimara njaa imeuwa watu 148 Somalia kesho ni jumatatu muwahi ukame umezidi kushika kasi Azam FC ipo nafasi ya jua sasa limekuwa kali balaa.
 
Yaani Bashite kwa kupenda promo ya media?

Hii miezi michache aliyokuwa amepigwa "ban" na media ilimnyima raha sana...
Roho ilikua inamuuma sio bure hahahahahaha
Yaan nazani sasa ivi Amani yake imerudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…