RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

RC Makonda ndani ya Ndondo Cup Final

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Hii ni ishara njema sana katika kuondokana na lile bifu.Naamini yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo.

Vijana mkishirikiana mnaweza kuleta mabadiliko makubwa sana Dar na kitaifa.
 
Yaani Bashite kwa kupenda promo ya media?

Hii miezi michache aliyokuwa amepigwa "ban" na media ilimnyima raha sana...
 
Hii ni ishara njema sana katika kuondokana na lile bifu.Naamini yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo.

Vijana mkishirikiana mnaweza kuleta mabadiliko makubwa sana Dar na kitaifa.
Picha tunahitaji,maana unachokinena kinaweza kisiwe kweliii uzushi huu haiwezekani kabisa
 
Mbona hiyo fainali ya Ndondo wameigeuza kama shughuli ya CCM?

Nawaona kwenye jukwaa kuu akina Dr Tulia Jackson, Daudi Bashite, Ally Hapi na Meya Ben Sitta, wote hao wakiwa ni viongozi kwa upande wa CCM pekee!

Hao CCM wanavyopenda ubaguzi, inawezekana kabisa hiyo shughuli wamefanya kuihijack....
 
Back
Top Bottom