Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,863
Hivi kuna watu kabisa mnabisha kweli kweli kwamba wafanyakazi wengi wa serikalini sio mzigo!? Mi ninazo proves nyingi tu za kuonesha kwamba wafanyakazi wa taasisi karibu zote za serikali hawafanyi kazi zinazo wahusu kwa wakati. Hilo wal ahalihitaji darubuni kulijua. Siungi mkono upunguzwaji wao but the truth remains, "Wafanyakazi wa serikalini hawafanyi kazi kwa wakati"