chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,195
Baada ya meya wa Dar kusema wataangalia utaratibu mpya boda boda waingie taoo na yy kadakia tena na mikopo juu, watatuheshimu tu sisi wenye kula zao,,,,,
Kwa hizi kauli za kiajabuajabu nani ampe jimbo! Aangalie utendaji wake pale alipo hakuna siasa, kama bado hajalijua hilo aanze kutafakari. Kwani bodaboda ushakuwa usafiri rasmi? Au ni kutokana na kutokuewpo na mipangilo mizuri ya miji na kiusafirishaji? Hili suala la bodaboda wengi wanalichukulia kama ndio usafiri rasmi, kuna sababu zingishapatiwa ufumbuzi wenyewe watatoweka taratibu. Ajaribu kuwa mbunifu kwa kuona hali halisi ya baadae!Jimbo gani analitaka??
.....ni kweli bro....Anayefikilia bodaboda kuwa ajira ana mawazo mgando vijana hawa hawana maisha marefu kwa kuwa watakufa kwa kuugua vifua, watatua kwa ajari, ujambazi, pia ni waathirika wakubwa wa virutubisho vya nguvu za kiume kwani sehemu yao ya siri hukaa ikichemka na kujigongagonga kwenye tenk la mafuta kuzifanya mbegu zisitulie kwa ajiri ya matumizi ya baadaye
Jimbo gani analitaka??
RC Makonda wew ni kijana wa mfano kwa sasa, umeonyesha kufanya mengi mazuri.
Kwa hili la bodaboda ebu tafakali kwanza na jaribu kupata mawazo ya wadau hasa Polisi na raia kwa ujumla. hata sisi tunafurahi kuwepo kwa bodaboda maana ni ajira pia zinalahisisha usafiri, bodaboda ni ajira kwa vijana wengi lakini lazima tuangalie changamoto za ajira hii kwa umakini zaidi..
Boda boda kwa makusudi wameuwa watu kwa umoja wao, wanashiriki katika matukio ya uhalifu, wanajeshi lao na wanajiona kuwa wako juu ya sheri, hawataki kufuata sheria. Kwa hiyo kutafuta namna ya kuwaongeza jijini ni kuhatalisha maisha ya wakazi wa Dar.
Kutaka kuongeza bodaboda jiji la Dar esalaam ni kuongeza matatizo kwa raia na pia ni kuwaita vijana walioko vijijini na miji mingine midogo kuja dar. Hii hali itaongeza population dar na baadhi ya matendo mabaya kuongezeka.
Ni vyema sasa ujitahidi kuziondoa pikipiki jiji la dar na sio kuziongeza, tafuta namna ya kuwasaidia vijana kwa njia nyingine na siyo hii ya bodaboda.
2,500 kwa wiki?! ina maana kwa mf. bodaboda ya mil. 1,800000 ya kichina marejesho ni miaka 15!!! amaizing! inachekesha! ngoja tuone huyu rc anapoelekea! teh teh!anasema atawapa mikopo ya bodaboda kwa marejesho ya tsh 2500 kwa wiki... kwa maana hiyo kila kijana anayetaka kupata bodaboda atapata..kitakachofuata sijui..
bodaboda haiwezi kua ndio usafiri wa umma dar wala suluhisho la ajira mijini kwa vijana sio bodaboda. viwanda ndio suluhisho... jeshi la bodaboda laweza kuja kua tishio sio kwa usalama barabarani tu ila kijamii na kisiasa. yafaa kua makini kuhusu kuendeleza usafiri wa bodaboda mijini badala yake tuimarisha usafiri wa umma na kujenga barabara za kisasa kama flyovers kuondoa msongamano.RC Makonda wew ni kijana wa mfano kwa sasa, umeonyesha kufanya mengi mazuri.
Kwa hili la bodaboda ebu tafakali kwanza na jaribu kupata mawazo ya wadau hasa Polisi na raia kwa ujumla. hata sisi tunafurahi kuwepo kwa bodaboda maana ni ajira pia zinalahisisha usafiri, bodaboda ni ajira kwa vijana wengi lakini lazima tuangalie changamoto za ajira hii kwa umakini zaidi..
Boda boda kwa makusudi wameuwa watu kwa umoja wao, wanashiriki katika matukio ya uhalifu, wanajeshi lao na wanajiona kuwa wako juu ya sheri, hawataki kufuata sheria. Kwa hiyo kutafuta namna ya kuwaongeza jijini ni kuhatalisha maisha ya wakazi wa Dar.
Kutaka kuongeza bodaboda jiji la Dar esalaam ni kuongeza matatizo kwa raia na pia ni kuwaita vijana walioko vijijini na miji mingine midogo kuja dar. Hii hali itaongeza population dar na baadhi ya matendo mabaya kuongezeka.
Ni vyema sasa ujitahidi kuziondoa pikipiki jiji la dar na sio kuziongeza, tafuta namna ya kuwasaidia vijana kwa njia nyingine na siyo hii ya bodaboda.
Amesifiwa kavimba kichwa anaona yeye ndio Kila kitu kumbe anaharibu.amekuja na wazo la kitoto sana na kimsingi linahatarisha usalama na ustawi wa jiji la DarHuyu atakuja kutuletea tatizo kubwa sana kama asipodhibitiwa, vijana wanahitaji muongozo bila hivyo ni shida
Huyu Makonda atawaharibia vijana kupewa nafasi kubwa maana anadhani waliomtangulia wote hawafikiri ila yeye.anapanga kuwaruhusu bodaboda waingie katikati ya jiji bila kujiuliza kwanini waliomtangulia waliwazuia.huyu kijana in hatari.Mwache ajidanganye! Hivi hajasikia Ma-DC wanavyotimuliwa kwenye mabaraza ya madiwani maana wao siyo wajumbe! Hata yeye siyo mjumbe hivyo hakika atakuwa anasikia tu kwamba leo meya wa jiji anagawa hela ya mikopo bila yeye kujua! Hii ndo shida ya vijana wakipewa madaraka makubwa! Ukuu wa mkoa wapewe watu ambao ni wakomavu kiakili na kimwili!
Inashangaza sana!2,500 kwa wiki?! ina maana kwa mf. bodaboda ya mil. 1,800000 ya kichina marejesho ni miaka 15!!! amaizing! inachekesha! ngoja tuone huyu rc anapoelekea! teh teh!
Pale machinga complex hakuna biashara ya kufanya pale ndo maana hata waliopewa vizimba vya kufanya biashara wengi wamevitelekeza na kurudi mtaani! Jamani hivi shughuli za kufanya ni umachinga, uchuuzi na bodaboda tu? hii ni kuwapumbaza tu, tunataka kuona vijana wanazalisha mali sio kuwafanya wachuuziawape
alitakiwa awape training za busness.. alafu awape mikopo na awatume wakafanye busness machinga complex.. swala la pikipiki linatakiwa liwekewe ugumu wa kumiliki.. yaani kumiliki pikipiki iwe vigumu kama kumiliki silaha..bodaboda ni shida kubwa sana.. majambazi wamejificha humo..
Nahisi EL angekuwa raisi halafu akachukua maamuzi ya kuwafungulia bodaboda mjini inawezekana mtoa post ungesifia (samahani, nimehisi tu).RC Makonda wew ni kijana wa mfano kwa sasa, umeonyesha kufanya mengi mazuri.