Hao ndio viongozi wa hili Taifa, piga wastaafu ili upate cheo. Nijuavyo kwenye uongozi kuna mgawanyo wa kazi, ndio maana hata chuoni tuna soma fani tofauti, namshangaa sana huyu dogo kusema yeye ni kila kitu Dar!!! Huu ni ulevi wa madaraka na show off.
Kama Mh rais alijua Makonda ni kila kitu ange futa taasisi zote amwache afanye kazi mwenyewe. Makonda anatakiwa ajue yeye ni mpiga debe tu wa mfalme kazi halisi hufanywa na wataalamu. Kuna town planning, kuna local govt, kuna usalama, so and so. Kipofu kaona tembo kila kitu ni kama tembo.