johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,022
- 142,061
Kwani Mbowe kaenda?!Taifa Stars sasa imevamiwa!!
I see Mbowe is a pain in your black a.s..Kwani Mbowe kaenda?!
Tatizo Raisi hajui linatoka wapi na mbona utawala wake haupendwi na watanzania kumbe gundu limepewa ukuu wa mkaogundu
Mkuu yaani jambo lisimamiwe na Bashite litoe matokeo chanya!!! Kalagabaho..Kwa team ile hatufiki popote. Kaenda kuwapa gundu tu. Millioni kumi kumi zao kawakabidhi leo?
kila la kheri jirani zetu Kenya.... Watz tupo nyuma yenu!Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amekutana na wachezaji wa Taifa stars na wadau wa michezo walioambatana na timu nchini Misri.
RC Makonda amewapa salamu kutoka kwa Rais Magufuli na kuwaahidi kuwa taifa zima liko pamoja nao. Kadhalika amewataka watanzania kuwa na mawazo chanya juu ya timu yetu ya taifa.
Viongozi mbali mbali wa wizara ya michezo na serikali kwa ujumla wapo Cairo kuhakikisha Kenya anapata kipigo cha mbwa koko.
Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!!
Wawavutie kwenye ile 1.5t waliyotupiga, huenda timu ikashinda. Ni vile tu nguvu ya jeshi letu mwisho ni Chato, vinginevyo wangepelekwa hiyo timu ishinde kwa figisu ili awamu ya tano ipate sifa. Wakenya funga hao ccm