RC Makonda aipaisha Dar, matokeo ya darasa la saba

wakati mwingine mnajitakia stress na pressure bila sababu y msingi inashangaza kuona presidential appointee anapambana kama mbunge wa kuchaguliwa na wananchi
 
Muandishi wa makala unafikiri kwa kutumia kiungo gani? Wakupongezwa ni
wanafunzi wenyewe
wazazi wa wanafunzi
walimu
hao ndio waliofanya dar ikaongoza
iwapo angehamishwa je wasingefaulu?
 
Mkoa wa Dares salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa .

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya madarasa, kujaza madawati kila shule na kugawa chaki na vitabu kwa wakati vimesaidia sana kurejesha morali ya walimu na wanafunzi kufundisha na kusoma kwa bidii.

Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.

Wenye roho za korosho wajinyonge na wakalegee huko.
We Bashite unatafuta kick humu? Tuwapongeze walimu wenye vyeti vyao.
 
Kweli dunia ina mengi ya kujifunza yaani mmeacha kuwapongeza walimu kwa kazi nzuri mnampongeza mtu ambae hayupo katika hilo swala
Wakifaulu mnasema ni walimu,
Ila wangefeli mngemshambulia Makonda, angalia thread za mwaka jana alivyoshambuliwa.
Binadamu ndo tulivyo double standard.
 
Ivi we mleta uzi, kazi ya makonda ktk elimu ni ipi? Na kazi ya walimu ktk ELIMU ni ipi?

Onyo; usimfie asiyestahili kusifiwa mnawafanya walimu wanazidi kuwa wanyonge zaidi.
 
IMG-20171020-WA0019.jpg

Taja shule ya serikali HAPO
 
Dar shule zilizoingia 10 bora ni tusiime na Feza.
Are theae govt skulz?
 
Mkoa wa Dares salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa .

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya madarasa, kujaza madawati kila shule na kugawa chaki na vitabu kwa wakati vimesaidia sana kurejesha morali ya walimu na wanafunzi kufundisha na kusoma kwa bidii.

Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.

Wenye roho za korosho wajinyonge na wakalegee huko.
Na msonde asingefanya hivyo alivyo fanya basi kibarua chake kingekuwa hatiani ndio maana Geita imeshika nafasi ya 2 hahahaaaaaaaa , ELIMU + SIASA + SIFA = ELIMUSIASASIFA
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Roho za korosho at work
 
Mkoa wa Dares salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa .

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya madarasa, kujaza madawati kila shule na kugawa chaki na vitabu kwa wakati vimesaidia sana kurejesha morali ya walimu na wanafunzi kufundisha na kusoma kwa bidii.

Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.

Wenye roho za korosho wajinyonge na wakalegee huko.
Shule za kata ndio za huyo Makonda wako, haya tueleze shule ipi ya kata iliyoongoza.

Tusiime ni shule private.
 
Back
Top Bottom