RC Makonda aipaisha Dar, matokeo ya darasa la saba

RC Makonda aipaisha Dar, matokeo ya darasa la saba

Mkoa wa Dares Salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa.

Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya madarasa, kujaza madawati kila shule na kugawa chaki na vitabu kwa wakati vimesaidia sana kurejesha morali ya walimu na wanafunzi kufundisha na kusoma kwa bidii.

Hongera sana Paul Makonda na hongera rais Magufuli kwa elimu bure.
Mwaka jana walisemwa sana, sasa hongera
 
Ufipa fc hata ofisi ya chama imewashinda.

Mnachojua ni kuuza madawa tu
Pole sana mkuu ila naamini sio akili yako iliyokusukuma uandike utumbo huo

Ukijitambua utaacha mkuu
 
Back
Top Bottom