Mkuu unadhani kwa wale wajumbe wote kwa nini wanyooshe kidole mtu mmoja? Ni kuwa alikuwa akionekana karibu simu zinawekwa kwenye mikoba au kuondoka. Ilikuwa ni aibu sana, ila si unajuwa kuna watu walizaliwa na uso wa mbuzi? They dont care
Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani.
Mkuu unadhani kwa wale wajumbe wote kwa nini wanyooshe kidole mtu mmoja? Ni kuwa alikuwa akionekana karibu simu zinawekwa kwenye mikoba au kuondoka. Ilikuwa ni aibu sana, ila si unajuwa kuna watu walizaliwa na uso wa mbuzi? They dont care
Hapo kwa namna moja au nyingine anawatuhumu waandishi wa habari kiaina...jamaa anapenda umaarufu wa haraka ila njia za kutumia kuwa maarufu zina walakini..
Mkuu wameichukuwa wazee wa mfumo!!Mle kuna mambo mengi mle.
Wameichukuwa wenye nchi yao kwenda kuthibitisha yaliyosemwa..Msg zitakuwa zinatiririka tu wakijuwa jamaa ndio anayo simu