Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,978 Aug 25, 2016 #41 Soon tutaziona zile pictures.. Kwenye Mitandao.
popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Aug 25, 2016 #42 Salary Slip said: Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani. Chanzo: JamboLeo Click to expand... Tutasikia mengi mwaka huu.......................................................
Salary Slip said: Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani. Chanzo: JamboLeo Click to expand... Tutasikia mengi mwaka huu.......................................................
Indian JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 821 Reaction score 710 Aug 25, 2016 #43 Mwambie awasiliane na yule Waziri wa Halbadir Zanzibar inarudi iyo simu.
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,911 Aug 25, 2016 #44 Leo wale wanaojipendekeza watapeleka simu,mwisho wa Siku atakua na simu sii Chini ya 100.Huo ni usanii mshana jr
Leo wale wanaojipendekeza watapeleka simu,mwisho wa Siku atakua na simu sii Chini ya 100.Huo ni usanii mshana jr
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Aug 25, 2016 #45 Mjini shule
G Gilbert Clavery JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 438 Reaction score 363 Aug 25, 2016 #46 Kwani cha ajabu nini
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Aug 25, 2016 #47 Anatafuta kiki tena may be ina picha za yaleee mambo yetu
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,980 Aug 25, 2016 #48 Hatari sana,
john agrey JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 1,280 Reaction score 2,080 Aug 25, 2016 #49 Yeye aliiba simu bunge la katiba so what goes around comes around__________law of karma
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,698 Reaction score 9,590 Aug 25, 2016 #50 Hayatuhusu apeleke taarifa kwa Mangu kwa hatua stahiki. Ukiachilia mbali tracking apps polisi ndio wa kufatilia simu zilizoibiwa.
Hayatuhusu apeleke taarifa kwa Mangu kwa hatua stahiki. Ukiachilia mbali tracking apps polisi ndio wa kufatilia simu zilizoibiwa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,752 Reaction score 830,872 Aug 25, 2016 #51 john agrey said: Yeye aliiba simu bunge la katiba so what goes around comes around__________law of karma Click to expand... Reap what you sow
john agrey said: Yeye aliiba simu bunge la katiba so what goes around comes around__________law of karma Click to expand... Reap what you sow
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 17,275 Reaction score 24,131 Aug 25, 2016 #52 labda tutaona utndaji wa tcra maana tcra kazi yao ni kutoa matamko kama makonda
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,789 Aug 25, 2016 #54 watu wanajua kuwajaribu wenzao,
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,058 Reaction score 132,500 Aug 25, 2016 #55 Kila mwandishi wa habari aliyekuwepo lazima Makonda ampeleke piraaaa Ova
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,949 Reaction score 74,431 Aug 25, 2016 #56 swissme said: muosha huoshwa aliosha nae kaoshwa. swissme Click to expand... Wale wamama wa Bunge la katiba watakuwa wanaangua kicheko kuona mtaalamu wa kukwapua simu naye kakwapuliwa. Hili ni fundisho kuwa mtenda hutendwa
swissme said: muosha huoshwa aliosha nae kaoshwa. swissme Click to expand... Wale wamama wa Bunge la katiba watakuwa wanaangua kicheko kuona mtaalamu wa kukwapua simu naye kakwapuliwa. Hili ni fundisho kuwa mtenda hutendwa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,752 Reaction score 830,872 Aug 25, 2016 #57 Chakaza said: Wale wamama wa Bunge la katiba watakuwa wanaangua kicheko kuona mtaalamu wa kukwapua simu naye kakwapuliwa. Hili ni fundisho kuwa mtenda hutendwa Click to expand... Hivi ni kweli kabisa alikuwa na mkono mfupi kwenda mbele?
Chakaza said: Wale wamama wa Bunge la katiba watakuwa wanaangua kicheko kuona mtaalamu wa kukwapua simu naye kakwapuliwa. Hili ni fundisho kuwa mtenda hutendwa Click to expand... Hivi ni kweli kabisa alikuwa na mkono mfupi kwenda mbele?
Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,125 Aug 25, 2016 #58 Jambo Leo
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Aug 25, 2016 #59 Ahhahahaha atanunua nyingine
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,619 Reaction score 5,518 Aug 25, 2016 #60 Nakumbuka bunge la katiba,malipo hapa hapa.....