RC Makonda aibiwa simu

RC Makonda aibiwa simu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,162
Reaction score
162,594
Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani.

Chanzo: JamboLeo
 
Wala asiwe na wasiwasi maana yaliyomo humo kwenye simu yatafumukia kwenye media... na huyo mwanzishaji ataisaidia polisi kuelekeza simu ilipo....hahahah akili za panzi
 
Hapo kwa namna moja au nyingine anawatuhumu waandishi wa habari kiaina...jamaa anapenda umaarufu wa haraka ila njia za kutumia kuwa maarufu zina walakini..
 
Huenda hata amemisplace lakini si mpenda media...

Au mwanawe kaitupa mvunguni....
 
hapana hiyo simu atakuwa ameificha makusudi yeye mwenyewe kwasababu anazo zijua yeye.
mm makonda simuani hata kidogo kwasababu mara nyingi huwa anaongea vitu ambavyo haviwezekani.

duh! pole yako
 
Back
Top Bottom