Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,638
- 220,410
Hunitoi kwetu Kwamtogole mkuuNa wewe njoo nikupengishie apartment Masaki.
Hunitoi kwetu Kwamtogole mkuuNa wewe njoo nikupengishie apartment Masaki.
Take it easy pambanana hali yako ndugu.Ndio maana sare za chama zimetawala!
Shame on you!
Mnaingiza siasa hata kwenye misiba
Take it easy pambanana hali yako ndugu.Sio wanachekewa, wao ndio wenye man power kwasasaivi ila Believe muda wao unakaribia itakuja bakia story tu...... 26/04.
Endelea kupiga mbwa rangi tu weweSio wanachekewa, wao ndio wenye man power kwasasaivi ila Believe muda wao unakaribia itakuja bakia story tu...... 26/04.
Wewe ni nani kumkosoa Mungu?Mungu alifanya makosa makubwa kuwaumba watanzania, nadiriki kusema
Ilibadilisha nini?Familia ya aliyekua mkurugenzi wa jIJI DSM Kabwe walimkomesha bashite kwa unafiki wake hawakumpa mkono msibani.Yaani umpe mtu msongo wa mawazo kwa kesi halafu akifariki ndiyo unaonyesha kumjali
Basi tafuta apartment nzuri hapo kwa bi Nyau nikupangishie mkuu.Hunitoi kwetu Kwamtogole mkuu
Wema aliwahi sikika akisema Masogange ni mpenzi wa Mkuu Makonda, hilo linaukweli?