RC Makonda agharamia mazishi ya Masogange

RC Makonda agharamia mazishi ya Masogange

yeye ndo alimpa Umeme. sasa hv anajikosha tu.

umeme ni hatar madanga mjitahd kuwa makin
 
Mkewe analijua hili, mbona watu wengine mnapenda kuharibu ndoa za watu. Ficheni hata kidogo mseme ofisi ya mkuu wa Mkoa. sasa mkewe akileta fujo huoni mtakua mmemvunjia ndoa yake. Vitu vingine kaeni kimya lol
Kwani yeye anapotangaza majina ya wenzie eti wametelekeza watoto wao hao wake zao hawasikii au hawaoni? Ndoa zao zinabaki salama? Pima uzani hapo
 
Kuna jamaa kule mwanza walikuwa wanashiriki misiba kama hii tena bila kuvaa sare yoyote ,waliishia kukamatwa na kupigwa mabomu ya machozi eti wanaeneza siasa
Mungu sio mnafiki Leo watu wamevaa sare kabisa ,sijaona hata mgambo akisema wanafanya siasa
All in all pumzika kwa amani aggy
 
Mkuu wetu wa mkoa amejaliwa na mungu utajiri mkubwa sana, Mungu ambariki. Anafanya mambo makubwa kuliko hata kina Bakressa.
 
Mkewe analijua hili, mbona watu wengine mnapenda kuharibu ndoa za watu. Ficheni hata kidogo mseme ofisi ya mkuu wa Mkoa. sasa mkewe akileta fujo huoni mtakua mmemvunjia ndoa yake. Vitu vingine kaeni kimya lol
Mkewe alimletee fujo mara ngapi?kwenye swala la kutoweza kumpachika mimba ni fujo tosha.
 
Makonda.jpg



Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegharamia gharama mbalimbali katika msiba wa Agnes Gerald alimaarufu kama Masogange ambaye amefariki April 20, 2018 na kuzikwa leo April 23, 2018 jijini Mbeya.


Akiongea mbele ya waombolezaji na Mkuu wa mkoa wa Mbeya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Matebe Mathias 'MC Pilipili' ambaye ndiye 'MC' wa shughuli za mazishi ya Agnes Masogange amesema kuwa wameona mkono wa serikali katika hilo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiye aliyefanikisha na kulipia magari ambayo yamewapeleka wasanii mbalimbali Mbeya.


"Mkuu wa mkoa wa Mbeya kuna upendo mkubwa ambao tumeuona kutoka kwenu kwani ulikuwa karibu na sisi muda mwingi, ulikuwa ukitupigia simu kujua tupo wapi hivyo naamini usiku wa leo hujalala kabisaa. Pia tunamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwani yeye ndiye aliyelipia magari mawili, matatu ambayo yametuleta hapa Mbeya leo kutokea Dar es Salaam, hata kamati ambayo ilikuwa imeandaa kuanzia kutoa heshima ya mwisho pale Leaders Club ambayo ilikuwa chini ya Steve Nyerere ilipewa nguvu na watu wa serikali tumeona serikali mmetupa support vizuri" alisema MC Pilipili


Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla aliweza kuwapokea na kutoa neno la shukrani kwa wasanii na watu mbalimbali ambao wameweka tofauti zao pembeni na kuungana kuwa kitu kimoja katika kuhakikisha wanampumzisha salama mwenzao katika nyumba ya milele.


"Mueendelee kuwa pamoja hivi hivi bila kujali tofauti zenu, mabifu yenu mzidi kuwa wamoja kwani hili jambo mmejenga heshima kubwa sana, naomba nitoe pole sana kwa familia kwa msiba huu" alisema Makalla
Hii habari siyo utamaduni wa Kitanzania. Tumezoea msiba unagharamia na jamii yote inayomzunguka marehemu wakishikiana na ndugu na marafiki wa marehemu; habari ya kwamba mtu mmoja ndiye aliyefanikisha shughuli za mazishi haina afya hata kidogo kwa ustawi wa Taifa letu.

Kama kuna mahali tumekosea tujirekebishe na kuendelea kama zamani kushirikiana katika shughuli za kijamii ikiwemo msiba pasipo kutegemea nguvu ya mtu mmoja
 
Mkewe analijua hili, mbona watu wengine mnapenda kuharibu ndoa za watu. Ficheni hata kidogo mseme ofisi ya mkuu wa Mkoa. sasa mkewe akileta fujo huoni mtakua mmemvunjia ndoa yake. Vitu vingine kaeni kimya lol
kwa yote anayoyasikia mabaya tena mabaya mno ya mumewe hajaleta fujo mpka leo hii ndo itakua hili la msiba? Huwezi jua labda na yy anasaidiwa ukoo wake wote ndo maana katulia hata asikie nini
 
Back
Top Bottom