Adkins
Member
- Apr 19, 2018
- 52
- 60
Sio wanachekewa, wao ndio wenye man power kwasasaivi ila Believe muda wao unakaribia itakuja bakia story tu...... 26/04.kuna watu wapumbavu sana nchi hii na ninacho shangaa wanachekewa

Etiii??Alimpangishia nyumba Makongo enzi za uhai wake
Habari ndiyo hiyoEtiii??
Du hawa jamaa kwa vigango hawajambo!Habari ndiyo hiyo
Mungu alifanya makosa makubwa kuwaumba watanzania, nadiriki kusemakuna watu wapumbavu sana nchi hii na ninacho shangaa wanachekewa
Familia ya aliyekua mkurugenzi wa jIJI DSM Kabwe walimkomesha bashite kwa unafiki wake hawakumpa mkono msibani.Yaani umpe mtu msongo wa mawazo kwa kesi halafu akifariki ndiyo unaonyesha kumjali![]()
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegharamia gharama mbalimbali katika msiba wa Agnes Gerald alimaarufu kama Masogange ambaye amefariki April 20, 2018 na kuzikwa leo April 23, 2018 jijini Mbeya.
Akiongea mbele ya waombolezaji na Mkuu wa mkoa wa Mbeya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Matebe Mathias 'MC Pilipili' ambaye ndiye 'MC' wa shughuli za mazishi ya Agnes Masogange amesema kuwa wameona mkono wa serikali katika hilo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiye aliyefanikisha na kulipia magari ambayo yamewapeleka wasanii mbalimbali Mbeya.
"Mkuu wa mkoa wa Mbeya kuna upendo mkubwa ambao tumeuona kutoka kwenu kwani ulikuwa karibu na sisi muda mwingi, ulikuwa ukitupigia simu kujua tupo wapi hivyo naamini usiku wa leo hujalala kabisaa. Pia tunamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwani yeye ndiye aliyelipia magari mawili, matatu ambayo yametuleta hapa Mbeya leo kutokea Dar es Salaam, hata kamati ambayo ilikuwa imeandaa kuanzia kutoa heshima ya mwisho pale Leaders Club ambayo ilikuwa chini ya Steve Nyerere ilipewa nguvu na watu wa serikali tumeona serikali mmetupa support vizuri" alisema MC Pilipili
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla aliweza kuwapokea na kutoa neno la shukrani kwa wasanii na watu mbalimbali ambao wameweka tofauti zao pembeni na kuungana kuwa kitu kimoja katika kuhakikisha wanampumzisha salama mwenzao katika nyumba ya milele.
"Mueendelee kuwa pamoja hivi hivi bila kujali tofauti zenu, mabifu yenu mzidi kuwa wamoja kwani hili jambo mmejenga heshima kubwa sana, naomba nitoe pole sana kwa familia kwa msiba huu" alisema Makalla
Hana jeuri hiyo!Mkewe analijua hili, mbona watu wengine mnapenda kuharibu ndoa za watu. Ficheni hata kidogo mseme ofisi ya mkuu wa Mkoa. sasa mkewe akileta fujo huoni mtakua mmemvunjia ndoa yake. Vitu vingine kaeni kimya lol
kweli mkuu, wengine hata kumsifia hawataki, ubinadamu gani huo?!Makonda abarikiwe sana
Sio mbaya maana inasemekana haka kajamaa nako kalikuwaga kanamtafuna huyo mdada kabla ya ishu ya sembe![]()
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegharamia gharama mbalimbali katika msiba wa Agnes Gerald alimaarufu kama Masogange ambaye amefariki April 20, 2018 na kuzikwa leo April 23, 2018 jijini Mbeya.
Akiongea mbele ya waombolezaji na Mkuu wa mkoa wa Mbeya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Matebe Mathias 'MC Pilipili' ambaye ndiye 'MC' wa shughuli za mazishi ya Agnes Masogange amesema kuwa wameona mkono wa serikali katika hilo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ndiye aliyefanikisha na kulipia magari ambayo yamewapeleka wasanii mbalimbali Mbeya.
"Mkuu wa mkoa wa Mbeya kuna upendo mkubwa ambao tumeuona kutoka kwenu kwani ulikuwa karibu na sisi muda mwingi, ulikuwa ukitupigia simu kujua tupo wapi hivyo naamini usiku wa leo hujalala kabisaa. Pia tunamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwani yeye ndiye aliyelipia magari mawili, matatu ambayo yametuleta hapa Mbeya leo kutokea Dar es Salaam, hata kamati ambayo ilikuwa imeandaa kuanzia kutoa heshima ya mwisho pale Leaders Club ambayo ilikuwa chini ya Steve Nyerere ilipewa nguvu na watu wa serikali tumeona serikali mmetupa support vizuri" alisema MC Pilipili
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla aliweza kuwapokea na kutoa neno la shukrani kwa wasanii na watu mbalimbali ambao wameweka tofauti zao pembeni na kuungana kuwa kitu kimoja katika kuhakikisha wanampumzisha salama mwenzao katika nyumba ya milele.
"Mueendelee kuwa pamoja hivi hivi bila kujali tofauti zenu, mabifu yenu mzidi kuwa wamoja kwani hili jambo mmejenga heshima kubwa sana, naomba nitoe pole sana kwa familia kwa msiba huu" alisema Makalla
Nadhani hata wale jamaa "wasiojulikana" pia walikuwepo.Mkewe analijua hili, mbona watu wengine mnapenda kuharibu ndoa za watu. Ficheni hata kidogo mseme ofisi ya mkuu wa Mkoa. sasa mkewe akileta fujo huoni mtakua mmemvunjia ndoa yake. Vitu vingine kaeni kimya lol
Kwani hujui mkewe anavumilia vingapi?Mkewe analijua hili, mbona watu wengine mnapenda kuharibu ndoa za watu. Ficheni hata kidogo mseme ofisi ya mkuu wa Mkoa. sasa mkewe akileta fujo huoni mtakua mmemvunjia ndoa yake. Vitu vingine kaeni kimya lol
Hana uwezo huo bashite, yeye ndio anatafunwa!!Sio mbaya maana inasemekana haka kajamaa nako kalikuwaga kanamtafuna huyo mdada kabla ya ishu ya sembe