#COVID19 RC Makalla, Mwamposa anamaIiza ibada 12 jioni, kuna Kanisa wanatoka saa 6 usiku huko Temboni mpo kimya! Tutaponaje na COVID-19?

Andika vizuri ,tangu 2007 watu wanakuambia humu ujifunze kuandika ,ungerudi shule ya msingi toka 2007 sasa hivi ungekuwa chuo.
Hata wewe ndugu. Wapi vituo hapo kwako juu? Mfano, kabla ya “ungerudi shule..”, ilitakiwa nukta na uanze tena na herufi kubwa. Tuvumiliane tu.
 
Andika vizuri ,tangu 2007 watu wanakuambia humu ujifunze kuandika ,ungerudi shule ya msingi toka 2007 sasa hivi ungekuwa chuo.

pdiddy mzee wa HT X au FT X, tumeimiss mikeka yake.
 
DK MWAMPOSA ALIWAHI KUONYWA HILI TUNASHUKURU AMEKUWA MSIKILIVUUU

UKISIKILIZA MATANGAZOYAKE ALIWAKUWA ANATANGAZA WANAINGIA SAA SITA WANATOKA 6PM MWISHO AKANZA TOA WATU SATATI USIKU

VIBAKA WALIJAZANA SANA SANA WAKARIPOTI HUSIKA.DK ANAENDA SAWA 6PM KWENU

KUNA KANISA TEMBONI.MH.MAKALA WATU WAMEANZA KUIBIWA USIKU WA MANANE SAASITA..SIHIVYO SIDHANI SHETIA ZENU MNARUHUSU KUKAA MPAKA.MIDA HII

KINAVHOUMIZA MATANGAZOYAKE YA IBADA WANASEMA.SAA NANE MPAKA KUMI NAMBILI REDION NK

AJABU IB ADA INAISHA SAA SITA MPAKA SA SABAUSIKU HAIPENDEZI.ANGALIENI HILI0

Hao wanaokaa hadi saa sita wamelamika?

Wewe usiende
 
Unaandika kama kambale
We jamaa ushagoma kabisa kurudia chekechea kujifunza kuandika
 
Andika vizuri ,tangu 2007 watu wanakuambia humu ujifunze kuandika ,ungerudi shule ya msingi toka 2007 sasa hivi ungekuwa chuo.
Hiki ndo nilitaka kuandika, huyu jamaa sidhani kama hata shule ya msingi alimaliza
 
Pamoja na kuweka front size kubwa. Herufi kubwa bado unaandika kijinga.
Aliyekuambia kunywa spirit nani kama huna hela ya bia. Unapoteza Uoni haraka mno
 
Sijaelewa kabisa uzi wako. Kwakuwa mimi ni mwalimu naomba usome irabu hizi kwa kuzirudia rudia

A, E, I, O, U (a, e, i, o, u)
 
Hao unaowatetea wanaibiwa kwani ni watoto wadogo?
Inakuwaje mtu mzima anaibiwa kiboya hivyo au wanalazimishwa kubaki kanisani huku wakiona muda unazidi kwenda?
 
Hivi wakati unaandika kwani ulikuwa umetekwa ama? Maana ni kama vile unatetemeka sn na hueleweki. Jifunze kuandika kwanza ndio uingie JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom