RC Makalla: Diamond amekataa kuwa Balozi wa usafi Dar

Usafi wa jiji ni pesa, waste products kama vyuma karatasi plastic zinafanyiwa recycling zinaunda bidhaa za thamani tu, huwezi mpa ubalozi mtu anaeijua pesa kwa mananeno matupu akakuelewa.
 
Naona Diamond akili zimeanza kumrudia Sasa. Kama mtakumbuka watu wengi walimshauri kujitenga na masuala ya ccm baada ya kampeni kali zilizoendeshwa na wanaharakati na kupelekea kukosa tuzo za BET.

Kwa maoni yangu Diamond Yuko sahihi.
Kwahiyo hata hili la usafi ni la CCM ?
 
Kama hajavunja sheria ni haki yake kukubali au kukataa.
 
Ushauri tu, serikali iache kukusanya kodi kwenye matamasha ya muziki kadhaa, watu waingie bure, tiketi iwe cheti kinachoonyesha mtu amechanja corona, wasanii wote wakali wapandishwe jukwaani. Usafi mpoto tu anatosha kuhamasisha
 
Mondi hajakataa bali ni Waganga wake.
 

Wanaume Madiva ndiyo hawa kama wanawake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…