Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na taratibu!
Watu wanakuwa wamefuata taratibu zote na kunyimwa haki katika serikali ile ile inayotoa pole!
Huwezi kwenda kutoa pole kwa matokeo yaliyochangiwa na uovu wa kiutendaji.
Ile siyo ajali bali ni jambo la makusudi kabisa lisilo na utu ndani yake!
Wengi tumesikiliza upande mmoja, Upande wa Mohammed pia ulitakiwa uhojiwe!
Huyu Mohammed siyo benki wala taasisi ya mikopo bali ni mtu!
Hivyo taratibu za kulimaliza hili jambo zilitakiwa zitangulizwe na utu na hekima za kibinadam!
Ni kweli marehemu alikopa! SAWA Lakini haki inatakiwa ionekane wazi kama imetendeka,
MISINGI yoyote ya uminyaji haki na fojari yoyote ya dokomenti ilipaswa kupewa kipaumbele kwanza!
WAKATI UNAMPA POLE HUYU ALIYEDHALILISHWA LEO, Kumbuka huko kuna mamia ya watu wanaendelea kunyimwa haki zao kwa style ile ile kama huyu unae mpa pole!
SURUHISHO ni kushughulika na mchakato mzima kuliko Namna hii ya utendaji!
Waliohukumu udhalimu kwa huyu wapo wanaendelea kuhukumu udhalimu kwa wengine!
KWANINI TUNASHITUKA NA KELELE ZA MAKALIO KUJAMBA WAKATI TATIZO LIKO TUMBONI?
Zingatia hapa!
1. Nilimpigia simu DC kuwa nimevamiwa Akanijibu njoo ofisini (hii maanake DC taarifa za uvamizi alikuwa nazo)
2. Kauli ya kwanza ya RC CHALAMILA leo Kwa familia ..AMESEMA HIVI (kwa kauli ya kweli kabisa kukaa na mali ambayo siyo yako kutakutesa sana)
HAYO MANENO Yanatamkwa na watu ambao tayali wameshirikishwa katika zoezi zima!
Kwanini polisi HAWAKUFIKA kuondoa taharuki mapema walipoitwa? Hii yote inaashiria kuna baraka za uharamia huo!
Mwisho ingawa siyo kwa umuhimu; kama kuna mazingira yoyote ya kufoji au kumruka huyu mama yalifanywa na Mohammed au mme Ipo haja pia ya kuangalia chanzo cha kifo ya Justise (mme) Huenda hata kifo chake kinaweza kuwa ni miongoni mwa mchakato wa kuimiliki hiyo nyumba.
Haiwezekani mwandishi alitokea mbagala akafika masaki halafu police rider masaki, osterbay na kituo kipo hapo n.k
Ingekuwa wakati wa haki kwa hayo tu machache, kuna watu kama watano hawakutakiwa kabisa kuwa ofisini hadi muda huu!