RC Hapi apewa siku saba kuwaomba radhi waandishi wa habari baada ya kuwataka wawe na vitambulisho vya wamachinga.

Ally Hapi atafute zake bahasha kadhaa azimwage kama ‘Sandakalawe’ aone watakavyovurugana
Kwa mara ya kwanza Mwana CCM umekiri hadharani kwamba watu wa chama chako ni mahiri katika kutoa rushwa. Rushwa CCM ndiyo falsafa ya kuendeshea mambo!!
 
Kwa "Freelancer reporters" wako kwenye payroll za vyombo vya habari wanavyoripotia? na kama hawapo kodi zao huwa wanalipaje? Majibu ya hilo swali yatafunga mada yako
 
Kwa mara ya kwanza Mwana CCM umekiri hadharani kwamba watu wa chama chako ni mahiri katika kutoa rushwa. Rushwa CCM ndiyo falsafa ya kuendeshea mambo!!

Rushwa ipo kwny Siasa ya vyama vyote

Tofauti na vyema vingine kwny Ccm huwa tunakiri Rushwa ipo na hata Mwenyekiti wetu amekuwa akikemea Mara kadhaa

Vyama vingine hujifanya wao ni malaika wakati hata Ukitazama kwny Viti maalum vya Ubunge na udiwani ni uthibitisho tosha

Dunia nzima kuna Rushwa mnafiki ni yule anaejifanya hajui hilo
 
Je aliwaambia katika ' Muktadha ' gani / upi? Yawezekana labda aliwaambia ama Kiutani tu au labda aliwaambia kwamba kama kuna Mwandishi wa Habari Mfanyabiashara au anatarajia kuwa Mfanyabiashara basi ahakikishe nae anakuwa na Kitambulisho hicho cha Wamachinga.

Japo RC Hapi nae Siku hizi naona amekuwa na ' Mapungufu ' fulani fulani hasa ya Kiutendaji na huenda pia ikawa inachangiwa na Umri wake kuwa bado mdogo na kupewa Dhamana Kubwa hiyo ya Kiuongozi ila nadhani hii taarifa juu yake imeletwa kwa ' Chuki ' zaidi hasa za Kisiasa / Kianaharakati kwani RC Hapi hajaanza Kuandamwa leo hasa baada ya Kuonyesha Msimamo wake juu ya Watu wa Chama fulani ambao wanahisi Kada Wao Mwandamizi wa Mkoani Iringa ananyanyasika kama siyo Kuonewa.

Halafu nitawaelewa hawa Waandishi wa Habari ambao wamempa ' Ultimatum ' hiyo RC Hapi kama na Wao pia wakituhakikishia Sisi Watanzania ni lini na Wao wataacha kuwa na tabia za Kujipendekeza, Kujikomba na Kusifia tu mambo ya Watawala huku ' Wakihongwa ' na ' Kutumika ' hovyo kwa Faida ya wenye ' Mamlaka ' nchini. Binafsi nawaona Waandishi hao wa Habari wa Mkoani Iringa na wengineo wengi ( ukiachia mbali wachache sana ) ni ' Wanafiki ' wakubwa mno kama siyo sana tu.
Basi sawa, ngoja Makonda naye akawaambie na Wachezaji wa Simba wawe na vitambulisho hivyo vya Machinga..

Huenda Wachezaji wa Simba na Bodaboda wote ni sawa...

Akili za kifutulism ni kujitutumua tu, lkn kichwani ni ziro...

Kifutu hana uwezo wa kung,amua mambo.
 
Kwa "Freelancer reporters" wako kwenye payroll za vyombo vya habari wanavyoripotia? na kama hawapo kodi zao huwa wanalipaje? Majibu ya hilo swali yatafunga mada yako
Posho huwa zinatozwa kodi na hivyo vitambulisho ni kodi ama ni nini?
 
Back
Top Bottom