RC Gambo ndani ya sakata la rushwa Arusha

Chama cha wahuni, mafisadi, watoa na wapokea rushwa na wauaji.

Ungefungua jicho zaidi ungeona kuna chama pia cha wapiga dili, wachumia tumbo, malaya wa siasa, wanafiki, wapokea rushwa, wenye bei kama kuku, na majina mengine unayoweza kuongezea.
 
Shule muhimu sana huyo jamaa anahojiwa kimitego anafunguka, mjanja angehisi kuna mchezo
 
Mbona hiyo video ni kama ya 2008 au macho yangu yana kijani sana?!!

John umeenda shule kweli au uliogopa umande wakati shule ni bure! Hiyo ni default time kama ilivyo default time ya simu whereby lazima kuweka siku tarehe na mwaka manually!!usijiaibishe tafadhali at the same time unajua fika 2008 hao madiwani na wakuu wa wilaya au mkurugenzi hawakuwepo even the current President alikuwa waziri tu kwenye serikali ya Rais Kikwete(mstaafu).
 
Hela ndo mpango mzima. Waheshimiwa madiwani pigeni Hela mfanye investment nyingine mbona Mboe nae alikula Hela ya Bw. Mamvi? Hakuna jipya hapo
 
Kuna Wapumbavu Humu Ndan Wameshaaibika Pointless Wamebaki Kutapatapa Tu,Ni Fedheha Iliyoje Kugeuza Ofisi Ya Umma Kuwa Pango La Kufanyia Siasa Chafu.
 
Tuhuma za CHADEMA kuendeshwa kwa maslahi na kununulika hazikuanza leo.

Uteuzi na vyeo kikabila, uteuzi wa kindugu, teuzi na vyeo kimapenzi na hata kununuliwa kwa pesa tasilimu.

Viongozi karibu wote wa juu kutoka kabila moja. Lisu kumfanyia mpango marehemu dada yake kuwa mbunge. Marehemu Ndesa kumfanyia mpango binti yake Lucy Owenya kuwa mbunge. Mkuu kumpa aliyekuwa demu wake ubunge na sasa ni mzazi mwenzake. Mkuu kupewa pesa na Mzee Mkono ili asimuwekee mpinzani ili Mkono apite bila kupingwa jimboni. Mkuu kuingia dili la 'kisiasa' na Katibu Kinana kuhusu kupata unafuu wa madeni yake ya NSSF, Mkuu kupewa mzigo ili kumpa EL nafasi ya kugombea uraisi kupitia UKAWA na baadhi ya tuhuma zilizoelekezwa kwa CHADEMA na wabaya wao.

Tuhuma za hivi karibuni zinaweza kuthibitisha tuhuma za nyuma. Tuhuma hizi za CHADEMA kuweza kununuliwa hazitolewi tena na wabaya wao. Tuhuma hizi zinatolewa na wabunge wao dhidi ya waliokuwa madiwani wao. Godbless Lema na Joshua Nasari wanajaribu kuthibitisha kuwa ndani yao, miongoni mwao wanaweza kununuliwa, inategemea bei. Katika kundi lao kila mtu ana bei yake.

Tuhuma za kuuza na kununua ndani ya CHADEMA kutoka kwa viongozi wa chama hicho sio ngeni. Mheshimiwa Sugu aliwahi pia kumtuhumu makamu mwenyekiti CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu kuwa anachukua milioni tano tano kwa wakinadada waliokuwa wakitaka majina yao yapitishwe ubunge viti maalum.

Lema na Nasari wametufumbua macho, wametuonesha kuwa hawa watu tunaowaamini na kuwategemea kuleta tunachokiita ukombozi si watu wa kuwategemea. Ni wanafiki, matapeli wa kisiasa, wachumia tumbo, genge la walanguzi na wachuuzi. Kama wanakubali kununuliwa kwa vijisenti vidogo tu, wanauza dhamana kwa hamu zao za ngono, wanawezaje hawa wakaaminika wakapewa nchi
 
ondoa upupu wako, hili lenu mlinywe na kila jambo litafunuliwa na kubatilishwa mbele ya uma
 
Dah wabongo tuache kudanganyana unapoamua kufanya jambo hakikisha mazingira unayofanyia hilo jambo yanaendana na uhalisia wa jambo la sivyo utajikuta mishipa inakutoka kushupalia jambo kumbe lina erros ambazo zinaonekana hata kwa mtoto hivyo recod inaonekana 2008 mhusika anafanyiwa interview alafu bila kujijua mishipa inakutoka kwapa zinanuka hushtuki yaani kila siku tunalalamika bongo movie wanakera movie hazieleweki kumbe vitu kama hv haviangaliwi acheni kunywa maji ya bendera mtakufa mm napita hv Homa ya manjano na kijani + pundamilia
Umeamua kuacha kutumia common sense ya kawaida, ingawa unachosema unaona kama kina make sense. Unaposikiliza hicho kinachosemwa katika hiyo video, kinakupa picha kwamba ni 2008? akina Gambo walikuwa wakuu wa mikoa mwaka ule? Kwa nini usifikirie deeper zaidi??
 
Mollel hakuwa diwani mwaka 2008! Tuliza akili Mkuu fuatilia mambo kwa kituo ili uelewe kinachoendelea kwenye uzi huu.
Mwaka 2008 Mrisho gambo alikuwa dogo sana, tena ndo alikuwa anamalizia chuo uhasibu Arusha ( computer science)
 
Baada Mbunge Joshua Nassari akishirikiana na mwenzie wa Arusha Godbless Lema kuja kile walichokiita ni ushahidi wa jinsi Madiwani wa Chadema waliorudi Ccm kuwa walinunuliwa, Taarifa za uhakika zinasema kuwa Chama hicho kipo kwenye mkakati mzito wa kutengeneza video zingine na kuzisambaza kwa nia ya kuwaaminisha Watanzania kuwa Ccm inanunua Madiwa ili kupata huruma ya wananchi.

Aliefichua siri hiyo ni Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Simon Msigwa kwenye moja ya makundi ya WhatsApp ya wanachama wa Chama hicho na kwamba safari hii video zitakazotengenezwa zitalenga kumuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo.

My take:
Chadema inakokwenda itabaki zilipendwa.

Sikiliza hii kitu.

Back
Top Bottom