ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,727
- 2,418
kula likes mia mkuuSwali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Toeni upuuzi wenu wakufanya siasa katika kila jambo kwani mbowe ni nani mpaka ampangie mkuu wa moa chakufanya.?
.Kiki hadi misibani
Mtu mwenye huzuni halilii kuongea msibani kamwe
hawa tunako elekea watakuja kuombea misiba mikubwa itokee kwao
wapate kiki
Hili ndo jibu toshaGambo anapewa kiburi na Rais,ndio maana kapata nguvu ya kumdharau Makamu wa Rais.
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Namuunga mkono Gambo....mama Samia ametumika na kina Mbowe tu....halafu huyu Lema kama anataka kuongea na wananchi wake si aite mkutano wake wa hadhara
Kwanini unaona ipo haja ya kuanzisha uzi mwingine wakati uzi huu tayari unazungumzia jambo hili?Mkuu nafasi ya kuanzisha uzi wako na kuzungumzia mada yoyote uitakayo , ipo wazi ,tafadhali itumie.
Mkuu hili ni Taifa,kuna mambo yetu ya kiungwana tuliyazoea. Kama tuanza kwenda nje ya mambo yetu lazima tukumbushane ili kuondoa dosari. Ingawa sikubahatika kuangalia tukio la kuaga vijana wetu kwa kuwa nilikua nje kabisa ya mji.Kama ni kweli siyo vema,japo haina maana sana,kwa kuwa mtu haongezewi wala kupungukiwa na chochote.Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Mambo ya kiungwana yapi?Mkuu hili ni Taifa,kuna mambo yetu ya kiungwana tuliyazoea. Kama tuanza kwenda nje ya mambo yetu lazima tukumbushane ili kuondoa dosari. Jambo hilo liko clear kabisa
Katiba ya nchi inampa mwananchi mamlaka lakini uelewe kwa sasa ni kinyume chake mwenye mamlaka ni kiongozi kazi ya mwanchi huisha baada ya kupiga kura.Kiongozi ndiye top,wengine ni bilabila.Mamlaka yote katika nchi yanatoka kwa mwananchi.
Ndiyo maana hao viongozi wanahitaji kupata kura za wananchi.
Hao wabunge wanaotunga sheria wanachaguliwa na wananchi na wanawakilisha wananchi.
Kama viongozi hawafanyi wanachotakiwa, wananchi wamewadekeza.
Watu kutojiuliza haya maswali, imenifanya nianze kuogopa sana kama taifa tunaelekea wapi au labda tumefika wapi. Kutwa mijadala yetu ni mambo ya kitoto tu.
Kosa la nani?Katiba ya nchi inampa mwananchi mamlaka lakini uelewe kwa sasa ni kinyume chake mwenye mamlaka ni kiongozi kazi ya mwanchi huisha baada ya kupiga kura.Kiongozi ndiye top,wengine ni bilabila.
Kwani Mbowe sio mbunge?Mbowe kaongea kama Nani ? Na kivipi mbunge hajaongea?