Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
ConstipationSwali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Utakuwa ni mmoja wa wale waliovurugwa, na waliokuvuruga walishatangulia mbele ya uovu!!!Aondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
Hawa watu ni wabaya sana katika kutafuta kiki kwa misiba.
Waliwahi kuuburuza mwili wa Mawazo toka katoro mpaka Mwanza,eti kuuaga,walipoambiwa huyo kwao ni Geita, rudini Geita wakaisusa maiti kwanza kama wiki hivi halafu wakaiburuta tena hadi geita yote hii wapate kiki
Naongelea tunaojadili hapa.Unajuaje kama hao walioachwa walikua na maoni ya namna ya kudhibiti ajali!? Sio kila mtu anafanya siasa kama CCM walivyo! Fikiria mbali kidogo mkuu
CCM wanajitahidi sana kupata kiki chuga lakini haisaidii na haitasaidia!Ramli chonganishi hii
Bavicha bana,wewe ulimsikia wakati anamuelekeza Mrisho amuingize Lema?Je kama ndio alikuwa anaelekeza Lema asiongee?
Halafu sio lazima Lema aongee,Mbowe bosi wake ameshaongea inatosha kabisa.
Chadema acheni kutafuta kiki kupitia misiba
Shauri zao,huyo mama ndie rais ajae.Hao hawamdharau Makamu (Samia) pekeyake bali viongozi wote waliochini ya Raisi (Mawaziri wote, Wakurugenzi nk) baada ya raisi ni wao
ulisikia ccm inalilia vipaza sauti huko?CCM wanajitahidi sana kupata kiki chuga lakini haisaidii na haitasaidia!
Kudhibiti kunategemeana na CHANZO CHA AJALI.Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.
Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.
Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Uko sahihi kabisa mkuu...inatokea leo kwetu tunapiga tanga kama la Zambia na Malawi...fasta kwa mujibu wa katiba ...mama samia analivusha GOMA mpaka uchaguzi ujao 2020....shughuli inawarudia wale woote waliokuwa wakimletea dharau....NYUMAAA GEUKA...WAKWANZA ANAKUWA WA MWISHO.. ..Usimdharau makamu wako wa rais,Future is mystery,unamdharau leo kesho anakua rais wako,cjui utaificha wapi sura yakp
Na kweli samia ni kibendera???Aondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA
Ndio inavokuaga hivo,dharau duniani hazifai,hakuna ajuae keshoUko sahihi kabisa mkuu...inatokea leo kwetu tunapiga tanga kama la Zambia na Malawi...fasta kwa mujibu wa katiba ...mama samia analivusha GOMA mpaka uchaguzi ujao 2020....shughuli inawarudia wale woote waliokuwa wakimletea dharau....NYUMAAA GEUKA...WAKWANZA ANAKUWA WA MWISHO.. ..
Kweli huwezi kumuondoa mwenye nchi kwani nchi ni mali yake anayo hatia militia aliyokuwa na Mungu. Ni Mungu pekee ndiyo anaweza kumtoa siyo mwanadamuAondolewe haraka!!
kweli mnachekesha
hivi huwa hamuoni aibu kudanganyana kila siku!!
Wewe kama nani wakutoa kauli hiyo!!
GAMBO PIGA KAZI WACHANA NA VIBENDERA