RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

Acheni Ku discus tatizo ambalo limetokea na kugeuza mtaji kisiasa huku mkijitoa ufahamu na kuleta topic za ajabu,embu fkria ndo yamekukuta hayo yaliyowakuta wenzetu ungejisikiaje?embu tuangalie chanzo cha matatizo na namna ya kuyatatua au kupunguza.hili suala sio la kisiasa tuwafariji ndugu zetu Leo kwao kesho kwako tuache kutumika kisiasa.msishangae sana viongozi hayo ni malezi waliyopata ndio maana wanafanya ivo lkn utu kwanza.
 
Haya maongezi mubashara yalioneshwa television gani?
 
Yaani JPM atengue uteuzi wa RC kwa kuwa tu Lema hakupewa kipaza sauti kusalimia Wafiwa?

Yeye ni Mbunge anaweza kuandaa Mkutano wake wa kuomboleza na amnyime Kipaza sauti Mrisho Gambo
 
Bashite alikuwepo Arusha.. yawezekana ni yeye aliyempenyezea Kijana yule..
Wasicho jua watu wengi ni kwamba Gambo kapokea maelekezo kutoka juu Mbinguni kuwa Lema Mbunge wa Arusha mjini asipate fursa ya kuwapa pole wafiwa! Tupo msibani wengine wanawaza kukomoana. Unapo muona RC Gambo na RC BASHITE ujue mkomoaji yupo katikati yao.
 
Mna uhakika kama kweli mh makamu wa Rais alimwambia aongeze majina hayo mkuu wa mkoa?????
Acheni ushabiki wa kipuuzi, mkuu wa mkoa hawezi kunkatalia mtu anayeto ndani ya mamlaka yake ya uteuzi
Makamu wa Rais yupo ndani ya taasisi ya Urais

Tuache kushabikia mambo yasio na tija,
 
bora wamemzuia maana angetukana tu
 
Swali la muhimu kabisa, tutadhibiti vipi hizi ajali,silioni.

Ila nani aliitwa kutoa ngonjera na nani hakuitwa naona sana mazungumzo yake.

Inaonyesha jinsi gani jamii yetu inavyojali ngonjera na risala kuliko kutatua matatizo.
Hayo yamezungumzwa...na haya lazima yazungumzwe kwa kuwa yana athari zake pia.
Usitupotoshe makusudi
 
Lakini unaonaje lema kutokupewa haki yake ya kiprotokali ya kutoa neno akiwa ni mbunge mwenyeji?
Ukiacha ushabiki pembeni.
 
Vyama vya upinzani visiishi kuwa matukio
 
Ninyi nyote huwa nawafananisha na kopo la kuchambia kazi yenu ni moja tu kusafisha uchafu matak*ni na kuyaacha mat*ko yakiwa safi. na mnaiweza kazi hiyo hongereni kwa umahiri mkubwa.
Uwiiiiiiii, wamekoma huko waliko
 
Hii Tanzania siju tunaenda wapi. Tunabaguana mpaka kwenye msiba?
 
kama ni kweli kuna mawili either mama mpendwa ajiuzulu au RC atolewe leo kufikia jioni.
 
Mama anadharaulika saana,km wanamdharau hivo basi huko maofisini kazi ipo
 
Weka video hicho komemo tuone!!! Otherwise how can we trust you nyie wabadili gia angani?
 
Uwezo Wao wa kufikiri umegota mwisho, kwasababu ya udogo wa ubongo Wao mdogo ka kidonge cha pirton
 
Bila ya kujali chochote kama kweli Gambo alikataa kutii amri ya Makamo wa Rais basi hafai kuna mgogoro wa Ki Muungano unafukuta
 
Na hiyo ndiyo ingekuwa funzo kwa Gambo.Lakini mama naye muoga.


Sio muoga.
Mhe.Makamu wa Rais ,Samia Suluhu, msomi ametumia busara kutoshindana na mjinga hadharani.
Tumpe muda tuone atafanya , atachukua hatua gani kwa huu utovu wa nidhamu
 
Lakini unaonaje lema kutokupewa haki yake ya kiprotokali ya kutoa neno akiwa ni mbunge mwenyeji?
Ukiacha ushabiki pembeni.

Ni kweli kama mbunge mwenyeji alistahili kupewa nafasi ya kuwasalimu na kuwapa pole wapiga kura wake katika msiba huo mzito

Lakini tukumbuke mkuu wa mkoa naye ni binadamu, huwezi mtukana matusi ya nguoni kiongozi mwenzako, bila hata kuomba msamaha, leo unataka utu wako hueshimiwe wakati wewe uheshimu utu wa kiongozi mwenzio

Mbunge wa Arusha alikosea sana pale alipomtolea kashfa kiongozi mwenzie, anapaswa amuombe radhi mwenzie, mambo yaishe wafanye kazi pamoja katika kuwaletea maendeleo wana Arusha
 

Mkuu ,
zaidi ya hao wanasiasa waliokuwepo jukwaa kuu ,hukuona umati wa wananchi uliofurika uwanjani?

Kama uliuona basi elewa kuwa si ITIFAKI wananchi wote wale kunyimwa haki ya kuongea.na sio ITIFAKI kuongea wote kwa pamoja .

SAUTI zao zingewakilishwa na VIONGOZI wao waliowachagua ambao ni MEYA wa jiji na MBUNGE wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…