Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,505
- 27,367
uvumilivu gani,acha ujinga,Mungu anamĺipa aĺïyomfanyia LemaRIP
JAMAA ANA MAJANGA SANA MWAKA HUU MUNGU AMPE UVUMILIVU
uvumilivu gani,acha ujinga,Mungu anamĺipa aĺïyomfanyia LemaRIP
JAMAA ANA MAJANGA SANA MWAKA HUU MUNGU AMPE UVUMILIVU
acha ujinga,Familia ya Lema walikesha kufunga na kuomba,majibu ndio haya sasa,una mali nyïngi huna wa kula nayeMungu sio mwanadamu...unavyofikiria suvyo anavyofikiria...
Kifo ni jambo ambalo linawapata wema na hata waovu.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
Kichaa hajatolea macho lambilambi?
Swissme
Mungu sio wa hivyo mkuu...kama angekuwa kama unavyomfikiria hata pengine wewe ungekuwa haupo.acha ujinga,Familia ya Lema walikesha kufunga na kuomba,majibu ndio haya sasa,una mali nyïngi huna wa kula naye
Mungu sio wa hivyo mkuu...kama angekuwa kama unavyomfikiria hata pengine wewe ungekuwa haupo.
Kifo ni suala ambalo hata wema linawapata vile vle...we sio msemaji wa Mungu.
Kufiwa mara mbili au tatu kwa mwaka ni kudhibitisha ile kauli ya Mungu "hakika mtakufa"
Acha fikira mgando na ushabiki wa kisiasa kwenye mambo ya lazima kama kifo.
ASANTE
Sure aisee, tusimuingize Mungu kwenye fikra zetu duniMungu sio wa hivyo mkuu...kama angekuwa kama unavyomfikiria hata pengine wewe ungekuwa haupo.
Kifo ni suala ambalo hata wema linawapata vile vle...we sio msemaji wa Mungu.
Kufiwa mara mbili au tatu kwa mwaka ni kudhibitisha ile kauli ya Mungu "hakika mtakufa"
Acha fikira mgando na ushabiki wa kisiasa kwenye mambo ya lazima kama kifo.
ASANTE
Dah mikeka imechanika
Mimi sio Gambo na wala sina ukoo naye mkuu.nahisi wewe ndo gambo mwenyewe...toka oline basi kaomboleze vzr
Mimi sio Gambo na wala sina ukoo naye mkuu.
Mimi ni mtu kama wewe tu ila fofauti yangu na yako, mimi najua kuwa jambo baya linawapata watu wote wema na waovu.
ASANTE
Sawa mkuumkuu hilo wote tunalijua..jitihidi usiimpangie mtu chaku comment..achawatu wajiexpress maon yao....
Sawa mkuu
ASANTE
Watu wa Arusha hatari sana, naona mmeanza na wale watu ambao walikuwa wanampeleka kwa mafundi kusafishwa nyota, sasa ivi hatari sanaJamaa kawa mpole huenda Mungu anamfundisha kuwa kuna maisha nje ya uongozi pole kwake
hahahahauvumilivu gani,acha ujinga,Mungu anamĺipa aĺïyomfanyia Lema
Akumbuke alïyomfanyïa Godbles Lema,yatamfuata mpaka kizazi cha Nne