RC Dar Afanyiwa Maombezi

RC Dar Afanyiwa Maombezi

a3dddd0632c0910e452897e99fb543b3.jpg


B1dWrnBCEAArxSl.jpg
 
ufarisayo huo ... sasa anapiga picha akisali ili iweje?
 
Haya makanisa yeu ya kilokole ndo uozo mtupu.... Kila kitu wanamsingizia Mungu...... Mwaka 2005 makanisa mengi walisema JK chaguo la Mungu... bdae watu haohao wakaanza lalamika kuhusu utendaji wake
 
kama kamkumbuka Mungu ni jambo jema atakuwa mnyenyekevu.
kwani wanaoongozwa na hekima itokayo kwa Mungu hata maadui zao hawawezi kuwashinda.
kwani Mungu huwapigania.

kumbe yawezekana kwa jinsi wapinzani wake wanavyomsema vibaya badala ya kushuka anazidi kupanda.

kwa huko alikowekeza tusishangae akiteuliwa ubunge na na kupewa wizara.

MAKONDA NAKUPA HONGERA UMECHAGUA FUNGU LILILO JEMA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom